Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 53
- 146
WENZETU WAMEFUNGUKA KUZIONA FURSA, SISI BADO TUPO USINGIZINI, DP WORLD WANASHIKA HATAMU
Na Comrade Ally Maftah
Wakati wenzetu wanajiunganisha na dunia na kufurahia mema ya Dunia, sisi bado tupo kwenye usingizi mzito na tunaachia haja zetu vitandani, tukitokwa na maneno kwamba eti Nchi inauzwa, NCHI INAWEZAJE KUUZWA?
DP World ni wawekezaji amabao wameshika hatamu katika uendeshaji wa Bandari, na wanafaya biashara na nchi kama Angola, Ethiopia, Rwanda, Mali na nchi kadhaa tunawaona wanasaini mikaba, wakati sisi bado tupo kwenye kiza, tukishangilia kujitenga na dunia, tumejifunga vibwebwe na usinga, wazaramo wanalipiga togwa, wahehe na ulanzi, wachaga na mbege, tukifurahia kuwa nyuma kiuchumi na kitechnolojia.
DP World wapo katika mazungumzo na Kenya ili kupanua bandari ya Mombasa, wakifanikiwa kwa kuchelewa kwetu tumekwisha, kwani mizigo yote itapitia Mombasa, tutabaki tunakamuana kodi za ndani,
ITAENDELEA
Imeandikwa na
Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Mjumbe Mkutano Mkuu Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
Mwanzilishi na Mmiliki wa Mtandao wa CAM STORE