Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika afika nyumbani kwa Mufti Zuberi kuhani Msiba

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
FB_IMG_1693335560462.jpg

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , leo tarehe 29/8/2023 , amefika nyumbani kwa Mufti Zuberi kwa lengo la kuhani Msiba.

Ikumbukwe kwamba Mufti amepata pigo baada ya kufiwa na mwanaye wa Kiume.

Kwa niaba ya Chadema natoa pole nyingi kwa Mufti Zuberi kufuatia kifo hiki cha mwanaye .

INNALILLAH WAINNA Ilayh Rajiun
 
View attachment 2732820

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , leo tarehe 29/8/2023 , amefika nyumbani kwa Mufti Zuberi kwa lengo la kuhani Msiba .

Ikumbukwe kwamba Mufti amepata pigo baada ya kufiwa na mwanaye wa Kiume.

Kwa niaba ya Chadema natoa pole nyingi kwa Mufti Zuberi kufuatia kifo hiki cha mwanaye .

INNALILLAH WAINNALILLAH RAAJUN
Jirani na ofisi za Chama wote wapo ufipa
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , leo tarehe 29/8/2023 , amefika nyumbani kwa Mufti Zuberi kwa lengo la kuhani Msiba.

Ikumbukwe kwamba Mufti amepata pigo baada ya kufiwa na mwanaye wa Kiume.

Kwa niaba ya Chadema natoa pole nyingi kwa Mufti Zuberi kufuatia kifo hiki cha mwanaye .

INNALILLAH WAINNA Ilayh Rajiun
Najua Ofisi za Chadema Ufipa zipo jirani sana na nyumbani kwa Mufti, hivyo ni jambo jema majirani kujuliana khali na kupeana pole!
 
Back
Top Bottom