Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi...
1 Reactions
1 Replies
657 Views
Wakati wa kutoa neno la shukrani, wanafamilia wawili wa Hayati Lowassa ambao ni Richard last born na Fredrick first born walisimama kutoa shukrani zao kwa waliohusika kushikamana na familia...
14 Reactions
81 Replies
8K Views
1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa...
2 Reactions
7 Replies
824 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea. Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana. Je, viongozi wetu wa kitaifa...
0 Reactions
7 Replies
675 Views
Yaliyotokea leo hatuwezi kuyarudia kuyaandika hapa , bali ni dhahiri kwamba CCM na serikali yake inamuogopa mno Freeman Mbowe ( Tunaishukuru JF na wadau wake ) , Waliosabanisha Mbowe apewe...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Malasusa hajachaguliwa na kanisa amechaguliwa na Serikali Hakuna asiyejua Malasusa ni member wa kaunda suti kule kitengo Safari hii amewekwa na mamlaka kuisadia Serikali na kupambana na TEC...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Sikubaliani kabisa na huyu ndugu yangu mbowe na kwa upande wangu anakosa sifa hata za kuwa mgombea wa JMT kupitia chadema. Mimi ni mwana CCM by birth , ila hotuba ya Mbowe leo, CCM wenzangu...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Tume ya Ushindani wa Haki Tanzania (FCC) imefichua kuwa Adani tayari ameshapewa dili la kuendesha kontena la bandari ya Dar es Salaam, ingawa hakuna tangazo lililotolewa na TPA. Ununuzi huo...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
🕯Salaam Wakuu🕯 1. Nyuzi zinapishana sana 2. Historia imerudi nyuma 3. Mengi yameibuka. 4. Wengi wamezungumza 5. Lakini sioni wa kumwamini Napata picha ENL alikua mtu mkubwa sana katika siasa ya...
6 Reactions
6 Replies
837 Views
Kelele na uongo mwingi unaozungumzwa ni kutokana na ndoto ya watu wa kaskazini kutoa Rais wa nchi kupotea huku matumaini yao makubwa yakiwekwa kwa Lowassa ambaye kwa wakati wake alionekana ndiye...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Mimi ni mtu wa mastori mastori, yaani mimi ni orator au story teller, kuna huu msemo wa Kiswahili wa "mgeni njoo mwenyeji apone" ila kuna ugeni mwingine ni Mgeni njoo mwenyeji akome...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kuna mkuu wa Wilaya huko Serengeti ka agıza mwanachi yoyote asie hudhuria Mikutano akamatwe apelekwe kwa nguvu Kwenye mkutano au Apeleke mwenyewe 5000 kwenye ofisi ya kijiji ana shindwa kujua...
2 Reactions
3 Replies
450 Views
Tangu Lowassa afe, maneno yote mabaya yanaenda kwa JK , kwenye jamii yako iliyokuzunguka kama haikukubali au haikuoni unafaa kwenye jambo fulani kuna tatizo? Who is lowassa by the way kwenye...
32 Reactions
249 Replies
12K Views
Mbunge Amandus Chinguile: Ni lini Serikali Italigawa Jimbo la Nachingwea. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutangaza utaratibu na sifa za kugawa majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni...
0 Reactions
7 Replies
949 Views
Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Wanabodi, Sometimes you have to take the bitter with the sweeter!. Kitendo cha Lowassa kujiunga Chadema, ingawa ni very sweet move kwa wengi, ila kwa wengine it's very bitter move...
47 Reactions
313 Replies
38K Views
Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump...
2 Reactions
5 Replies
671 Views
https://twitter.com/bbcswahili/status/1759488025426321782?t=Iaq3wnJbuHORDnFRXs9O9Q&s=19 My Take Nionavyo Mimi hii Sanamu Haina sura ya mwl.nyerere sijui wenzangu mumegundua Hilo? 👇👇 Maoni ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…