Ulevi wa madaraka Serengeti

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Kuna mkuu wa Wilaya huko Serengeti ka agıza mwanachi yoyote asie hudhuria Mikutano akamatwe apelekwe kwa nguvu Kwenye mkutano au Apeleke mwenyewe 5000 kwenye ofisi ya kijiji ana shindwa kujua kwanini watu. Awahudhurii.

Mikutano watu Washachoka kusikia ngonjera maneno ya Matumaini. Kwenye mikutano yenu lakini kwenye utekelezaji ziro uwezi kumlazimisha mtu Aje kwenye mikutano yakugawana posho Halafu Wao wakitoka chakukila hawakijui nyinyi Mnagawana posho Halafu Wao Wanatoka bila bila nendeni wenyewe. Au pelekeni familia zenu
 
Back
Top Bottom