Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili...
Lazima tushukuru tukifanyiwa jema sasa hivi hakuna mgao wa umeme hakuna shida ya maji hakuna uhaba wa ajira kila mtanzania ana ajira sasa hivi hospitali zote zina madaktari wa kila haina...
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha...
Ninawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka; "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa".
Sababu ya kushauri hivyo, sisi ni Waafrika kwanini tusitumie Kiswahili chetu katika mambo...
Hivi ni nani kwa hali hii ya Umeme hajapata athari za kiuchumi, kijamii na hata kiuhai?
Watu wamefilisika, biashara zimekufa, wamepoteza uhai na kadhalika kwa uongozi wa chama cha mapinduzi...
Hakika naona Mambo si Shwari juu ya Suala la KATIBA MPYA.Ukimya wa SERIKALI Unaadmshuria UGUMU wa Suala hilo.Binafsi niliamini Suala hili kwa kuwa sio geni kwa Watanzania kutokana na UZOEFU...
Mhe Laigwanan. tumekupumzisha katika nyumba yako ya milele lakini kama mfuasi mwaminifu wa Bwana wetu Yesu Kristo tuna imani utafufuliwa mnamo marejeo ya Kristo parapanda itakapolia
Tanzania...
Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa...
Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye...
Dr. Mwinyi, nilikueleza Democracy inamipaka yake. Hata last time tulipoonana.
Ukiendelea ku smile utavuruga amani ya ZNZ. Watu wachache watakutia doa.
Wewe ni Rais kijana mwema na mwenye busara...
Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri...
Nikirejea namna vyama vikubwa viwili Tanzania vinavyoteua wagombea wake wa nafasi za uchaguzi hasa za Urais ni wazi vigogo wachache wa vyama wamehodhi mchakato wa kupitisha wagombea wao badala ya...
Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa...
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama...
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu.
Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states)...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9.
Kwamba...
Kwema Wakuu!
Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne.
Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na...
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini"
Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine.
Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa...