Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, kwamba ikiwa iko wazi na dhahiri kabisa kwamba raisi wa Tanzania anaekuwa madarakani, anaamua kwa makusudi na huku akijua hilo, au kwa kushauriwa vibaya, au...
Ni kama vile tumeshaifikia Babeli mnarani na kila mtu ananena kwa Lugha ya kule alikozaliwa, hatuelewani yani
Naibu waziri anasema Umeme Machi, Spika anasema tufanye June, Doto anasema...
Nimesikiliza wasilisho la Ansbert Ngurumo kwenye Online TV akidai kuwa Rostam aliwapa mkono waombolezaji wote waliokaa mbele na kumruka Kikwete kwenye msiba wa Lowasa huko Monduli.
Mliokuwepo ni...
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga...
Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata...
Alianza Kugwangala kudai kuna waziri amenunua hekalu Dubai
Akaja Lucas akasema Mbowe ana ghorofa kijijini kwao Machame
Leo Watu wanajadili Saa
Hizi zote ni dalili za hali Ngumu Sana ya Maisha...
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe...
Nimekutana na MZAZI mmoja anaongea kwa kuonyesha uchungu na HUZUNI kubwa kwa Yale yanayowakabili Wazazi walio na Watoto wenye kusoma shule hii kongwa ya enzi za mkoloni.
Tangu mwaka Jana 2023...
Halafu huko Majukwaani tunaambiwa tusichanganye Dini na Siasa
Mbunge wa Kilosa mh Kabudi amesema shule ya kwanza ya Sekondari mkoani Singida ilijengwa na Mchungaji wa KKKT aliyetafuta wafadhili...
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.
Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo...
Nimeweka list ya viwanda ninavyoweza kumbuka, ambavyo ilikuwa ni mkombozi wa ajira kwa TZ. Vingi viliajili zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ambayo sikuyaweka. Lakini hii...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amewasihi Watanzania kuwa na desturi ya kuzungumza mazuri ya mtu akiwa bado yupo hai badala ya kusubiri afariki.
Makonda ameyasema hayo kwenye...
Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kuchukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta...
Kuna tetesi nimezipata kwamba Wakurugenzi wanne TPDC akiwemo MD wamesimamishwa na body ya wakurugenzi kupisha Uchunguzi wa Ufisadi kwenye moja ya manunuzi.
Hii imetokea kwenye kikao...
Habari wana JF.
Naomba wajuzi wa mambo tujadiliane kidogo kwa lengo la kuwekana sawa na kupeana mwanga katika haya maswala.
Naomba kujua, kitendo cha makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasi na...
1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje...
Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna...
Hakuna mgao wa umeme, hakuna mgao wa umeme, hakuna mgao wa umeme. Kama huamini rudia tena mawazo haya hadi ujishawishi kuwa unachoshuhudia ni kitu kingine zaidi ya mgao wa umeme. Kwanini hakuna...
Ni kuwa mjadala wa Richmond ndio unaanza japo mbunge wa Kigoma Mjini ndugu Peter Serukamba alimtaka spika kumpa ufafanuzi kwanza kuwa ni kwanini Waziri mkuu hakupewa nafasi ya kujitetea kwenye...
Ndugu zangu watanzania ,
Hiyo ni taarifa iliyotolewa na Mheshimiwa Naibu Waziri Mkuu akiwa mkoani Mbeya ,kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgao wa umeme utakwisha bali inachofanya serikali...