Prof. Kitila Mkumbo amekuzwa na CHADEMA kisiasa sasa mbona Uchumi anaousimamia hausomeki?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.

Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya

Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa

Mlale unono 😀🔥
 
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli Sana..
Chadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwani
 
Sidhani kama kuna Kiongozi yeyote yule aliyezaliwa kabla ya 1995 atakaye kuja kusema hakutokea CCM. Hata Mbowe.

- nipo tayari kusahihishwa-

...na kwa msingi huo, na kuzingatia kwamba Kitila Mkumbo ni Mzee,

sidhani kama ni sahihi kusema amepata makuzi ya Kiuchumi kutoka CHADEMA.

Hatahivyo, sera za Kiuchumi za CHADEMA hazieleweki.

Ikumbukwe pia, Kitila Mkumbo amesomeshwa kwa sera za elimu za CCM.

Kitaeleweka.
 
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli Sana

Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya

Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa

Mlale unono 😀🔥
Tatizo mfumo CCM.
 
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.

Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya

Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa

Mlale unono
Wacha utoto
 
Chadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwani
Umeongea Nini hiki? Yani Kitila ni mwana CCM aliyetokea ACT wala sio CHADEMA. Tena ni mwalimu wa Saikolojia sio Uchumi. Utaaanzaje kuilaumu CHADEMA?. Tuwe serious.
 
Yule siyo mchumi ni mwalimu. Tena aliyeupata u alimu wa chuo kwa kuhongwa ni baada ya kuwasaliti wenzie kwenye mgomo wa 1994 akapelekwa Nairobi kisha GPA ikarekebiswa maisha yakaendelea.
Ni mwalimu kabisa. Alitusaliti 1998/1999 alipokuwa rais wa DARUSO. Na hakupelekwa wapi wala wapi, baada ya kumaliza 4th year tu (kabla hata ya graduation) aliajiriwa ofisi ya Dean of students huku akifanya Master of Education (Psychology).
 
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.

Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya

Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa

Mlale unono
Kitila Mkumbo ni professa wa mahusiano, sasa mahusiano na uchumi wapi na wapi??? Ujinga mnao ninyi ccm ambao mtu aliyesomea mambo ya mapenzi kumfanya ashughulikie uchumi
 
Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.

Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya

Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa

Mlale unono 😀🔥
Ndiyo maana alifukuzwa CHADEMA baada ya kugundua kuwa hana akili
 
Chadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwani
Ajabu sasa, ccm wanaenda kununua Kwa gharama kubwa watu waliofeli ili wawasaidie kujikwamua walikokwama. Haya ni maajabu ya karne
 
Huyu namjuwa tokea wakati ule anaendesha kixtrail chake kutwa
Yuko na kibegi, eti leo hii waziri

Ova
 
Back
Top Bottom