Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

Miaka ya nyuma sana. Baada ya vita ya Uganda. Kulikuwa na Jenerali Silas Mayunga. Akapelekwa kuwa Balozi Nigeria. Mseveni akaenda ziara Nigeria. Alipokuwa anawasalimia mabalozi hakuamini kumkuta Mayunga kule. Akamruka kumsalimia. Mayunga akaumia.

Baadaye akamwita wakakaa muda mrefu akimuuliza kilichomfanya akapelekwa Nigeria kuwa balozi.

Wanasema alipomaliza ziara haikuchukua muda Mayunga akarudishwa nyumbani.

Hivyo kutomsalimia mtu kunaweza kukawa kwa nia nzuri kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom