CHADEMA kuzuia msafara wa Naibu Waziri Mkuu ni kudharau mamlaka

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Habari wana JF.

Naomba wajuzi wa mambo tujadiliane kidogo kwa lengo la kuwekana sawa na kupeana mwanga katika haya maswala.

Naomba kujua, kitendo cha makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasi na maendeleo kuzuia msafara wa Naibu waziri Mkuu ni sawa?

Nahis niwazi chadema imeonesha kudharau mamlaka hadharani na kuonesha ni kwa namna gani wamegeuza siasa kuwa kama vita na swalaa la ushindani wa hoja.
 
Nani anayetoa kibali cha Maandamano? Jibu ni Polisi. Nani anayejua ujio na taratibu za ziara ya Naibu Waziri Mkuu? Jibu ni Polisi.

Sasa twende kwenye Mada. Je, nani kamzuia mwingine?

Tujiulize swali jepesi, nani alikuwa wa kwanza kuwa na kibali cha matumizi ya barabara husika kwa muda huo? Bila shaka ni CHADEMA, kwa sababu kibali chao kilitoka mapema.

Kibali cha maandamano huanisha routes zote ambazo maandamano hayo yanapaswa kupita. Ieleze kuwa mtapita barabara hii kwa wakati fulani, ili kuruhusu shughuli zingine za kijamii na maendeleo ziendelee.

Kama walijua kuna ziara ya NW Mkuu, basi wasingetoa kibali cha maandamano kwa siku husika.

Swala la NW Mkuu, huenda limetokea kwa dharura. Na pengine ziara imejitokeza kwa ghafla. Polisi kwa kufahamu kuwa ile njia ipo busy, wangetafuta njia mbadala wa kupitisha msafara wa NW Mkuu.

Ama kama kulikuwa kuna ulazima wa kupita njia hiyo, basi kwa busara na hekma wangewatuata wahusika wawaombe msafara huo upite kwa dakika kadhaa tu.

Kama kulikuwa kuna kutoelewana basi jibu ni kuwa kuna mmoja alishindwa kujishusha.

Yote kwa yote, Polisi ndiyo hawakutimiza majukumu yao ipasavyo.
 
Nani anayetoa kibali cha Maandamano? Jibu ni Polisi. Nani anayejua ujio na taratibu za ziara ya Naibu Waziri Mkuu? Jibu ni Polisi.

Sasa twenye Mada, je nani kamzuia mwingine?

Tujiulize swali jepesi, nani alikuwa wa kwanza kuwa na kibali cha matumizi ya barabara husika kwa muda huo? Bila shaka ni CHADEMA, kwa sababu kibali chao kilitoka mapema.

Kibali cha maandamano huanisha route zote ambazo maandamano hayo yanapaswa kupita. Ieleze kuwa mtapita barabara hii kwa wakati fulani, ili kuruhusu shughuli zingine ziendelee.

Kama walijua kuna ziara ya NW Mkuu, basi wasingetoa kibali cha maandamano kwa siku husika.

Sawala la NW Mkuu, huenda limetokea kwa dharura. Na pengine ziara imejitokeza kwa ghafla. Polisi kwa kufahamu kuwa ile njia ipo busy, wangetafuta njia mbadala wa kupitisha msafara wa NW Mkuu.

Ama kama kulikuwa kuna ulazima wa kupita njia hiyo, basi kwa busara na hekma wangewatuata wahusika wawaombe msafara huo upite kwa dakika kadhaa tu.

Kama kulikuwa kuna kutoelewana basi jibu ni kuwa kuna mmoja alishindwa kujishusha.

Yote kwa yote, Polisi ndiyo hawakutimiza majukumu yao ipasavyo.
AhsNte nimepata kitu kikubwa sana cha kujifunza
 
Back
Top Bottom