Wataalamu wabobezi waliochafuliwa na fitina za CCM

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini.

Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi la wajinga CCM.

2. Omary Nundu. Huyu ni bingwa wa masuala ya aviation. Amefanya kazi maiaka kibao ktk njia panda ya dunia ya madege -Amsterdam. Kikwete kaenda kumuomba aje atufufulie shirika letu la ndege. Kufika hapa kapewa uwaziri lkn kakwamishwa na wajinga CCM.

3. Tido Mhando. Huyu ana weledi mkubwa ktk maswala ya habari na mawasiliano. Alikuwa anafanya kazi shirika kubwa la habari duniani -BBC. Kikwete kaenda kumuomba aje aiboreshe TBC. Kufika hapa kapewa ukurugenzi lkn alikwamishwa na wajinga CCM.

4. Prof. Tibaijuka. Mama mataalamu wa masuala ya nyumba na makazi. Kafanya kazi ktk shirika la umoja wa mataifa lijulikanalo kama UN Habitat. Kikwete kaenda kumuomba aje asaidie kuboresha nyumba na makazi hapa. Akipewa uwaziri lkn akakwamishwa na wajinga ccm.

5. Irene Isaka. Huyu alikuwa anafanya kazi kubwa na yenye mshahara mkubwa sana kwenye shirika moja la kimataifa huko South Africa. Kikwete kaenda kumuomba. Akaja akafanya kazi .nzuri chini awamu ya Kikwete lkn alipoingia jiwe akamtupilia mbali kwa hoja za kijinga tu.

CCM is the heaven for thick headed people.
 
Politics in the African countries is among of the most dirtiest games in this world.
Think well before you decide to join them.
 
Hawa walifanya mistake ya kuingia kwenye siasa. Wangebaki kwenye career zao
Career bila hela?

Duniani hapa hata uwe msomi na kuheshimika vipi kama huna hela ni bure tu!

Kwenu nyie mnaona wachafu ila wao maisha yao na vizazi vyao yapo kwenye mfereji wa neema ya nchi.

Ni upumbavu kukumbatia career huku unakufa njaa.
 
1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini.

Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi la wajinga CCM.

2. Omary Nundu. Huyu ni bingwa wa masuala ya aviation. Amefanya kazi maiaka kibao ktk njia panda ya dunia ya madege -Amsterdam. Kikwete kaenda kumuomba aje atufufulie shirika letu la ndege. Kufika hapa kapewa uwaziri lkn kakwamishwa na wajinga CCM.

3. Tido Mhando. Huyu ana weledi mkubwa ktk maswala ya habari na mawasiliano. Alikuwa anafanya kazi shirika kubwa la habari duniani -BBC. Kikwete kaenda kumuomba aje aiboreshe TBC. Kufika hapa kapewa ukurugenzi lkn alikwamishwa na wajinga CCM.

4. Prof. Tibaijuka. Mama mataalamu wa masuala ya nyumba na makazi. Kafanya kazi ktk shirika la umoja wa mataifa lijulikanalo kama UN Habitat. Kikwete kaenda kumuomba aje asaidie kuboresha nyumba na makazi hapa. Akipewa uwaziri lkn akakwamishwa na wajinga ccm.

5. Irene Isaka. Huyu alikuwa anafanya kazi kubwa na yenye mshahara mkubwa sana kwenye shirika moja la kimataifa huko South Africa. Kikwete kaenda kumuomba. Akaja akafanya kazi .nzuri chini awamu ya Kikwete lkn alipoingia jiwe akamtupilia mbali kwa hoja za kijinga tu.

CCM is the heaven for thick headed people.
Hapa Nundu dah alivishwa gunia siasa haijui maskini ya Mungu wakampotezea muda kiketwe analeta mtaalamu ana ndege moja ya kukodi twiga mnyonge!
Nundu zindabaaah wahindi wa tanga walimpa jina Allah amrehemu!
 
Career bila hela?

Duniani hapa hata uwe msomi na kuheshimika vipi kama huna hela ni bure tu!

Kwenu nyie mnaona wachafu ila wao maisha yao na vizazi vyao yapo kwenye mfereji wa neema ya nchi.

Ni upumbavu kukumbatia career huku unakufa njaa.

Hivi hela zinapatikana kwenye siasa tu?
You can stick kuwa professor na ukafanya mambo makubwa
wenzetu wana wezaje?
Au wao tamaa ya pesa za siasa hawana?
 
1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini.

Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi la wajinga CCM.

2. Omary Nundu. Huyu ni bingwa wa masuala ya aviation. Amefanya kazi maiaka kibao ktk njia panda ya dunia ya madege -Amsterdam. Kikwete kaenda kumuomba aje atufufulie shirika letu la ndege. Kufika hapa kapewa uwaziri lkn kakwamishwa na wajinga CCM.

3. Tido Mhando. Huyu ana weledi mkubwa ktk maswala ya habari na mawasiliano. Alikuwa anafanya kazi shirika kubwa la habari duniani -BBC. Kikwete kaenda kumuomba aje aiboreshe TBC. Kufika hapa kapewa ukurugenzi lkn alikwamishwa na wajinga CCM.

4. Prof. Tibaijuka. Mama mataalamu wa masuala ya nyumba na makazi. Kafanya kazi ktk shirika la umoja wa mataifa lijulikanalo kama UN Habitat. Kikwete kaenda kumuomba aje asaidie kuboresha nyumba na makazi hapa. Akipewa uwaziri lkn akakwamishwa na wajinga ccm.

5. Irene Isaka. Huyu alikuwa anafanya kazi kubwa na yenye mshahara mkubwa sana kwenye shirika moja la kimataifa huko South Africa. Kikwete kaenda kumuomba. Akaja akafanya kazi .nzuri chini awamu ya Kikwete lkn alipoingia jiwe akamtupilia mbali kwa hoja za kijinga tu.

CCM is the heaven for thick headed people.
Ukimtoa Tiddo hapo wengine waliobaki walikuwa mafisadi kama mafisadi wengine tu.
 
".......Kikwete kaenda kumuomba. Akaja akafanya kazi .nzuri chini awamu ya Kikwete lkn alipoingia jiwe akamtupilia mbali kwa hoja za kijinga tu......"

Nilipoona tu jina Kikwete limetajwa kila aya nikajua tu huko ni kutetewa kwa BT. Hakuna jipya.

Haya yamethibitishwa na kutajwa kwa Late C.E.O nikajua essence ya bandiko lako hilo.

Kwa ufupi. Ukiondoa Tido Muhando. Hao wengine wacha wapotelee huko. Wamekula sana hii nchi enzi zao kwa utetezi ati waliletwa kuja kusaidia. Yaani wabongo akili zenu zimejaa matope ukiwemo mtoa mada.

Very shameful!
 
Back
Top Bottom