Tundu Lissu: Utafiti wetu ulionesha vita dhidi ya Ufisadi siyo Kipaumbele cha Wapiga kura 2015 hivyo nafasi ya Dr Slaa ilikuwa finyu sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,027
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9.

Kwamba palikuwepo na Kipaumbele namba 1,2,3... na 8 au 9 ndio kilikuwa Vita dhidi ya Ufisadi

Kwahiyo Wapiga kura walikuwa na mambo 7 waliyohitaji kuliko Vita ya Ufisadi na kwa maana Hiyo Sera ya Chadema na maono ya mgombea wetu hayakuendana na Matamanio ya Wapiga kura kwa Wakati huo ie 2015

Ndio tukaamua kumkaribisha mzee Lowassa aliyesheheni Matamanio ya Wapiga kura, amesema Tundu Lisu

Credit: The Big Agenda Star tv
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9

Nakubaliana na hili kwa asilimia zote. Watanzania ufisadi ni kama jadi yetu na mtu akiteuliwa tunasema ''ameula''. Ndiyo maana CCM inafanya kila aina ya ufisadi lakini raia tuko kimya. Tuko tayari kuandamana kupinga ushoga usioathiri maisha yetu na siyo ufisadi.
 
Kama kweli Chadema walifanya huo utafiti na kupata majibu hayo aliyosema Lissu, basi Chadema kama taasisi wako vizuri kwenye tafiti, nikikumbuka yale mafuriko ya Lowassa, kama Chadema walishayaona kabla hayajatokea, basi wako vizuri kama taasisi iliyo chini ya Mbowe - the genius.

Siku zote chama cha siasa ni watu, na ili kuungwa mkono na watu lazima uwape kile wanachotaka kwa wakati husika, bila kujali kama kinaenda kinyume na matarajio yenu, kuwa na misimamo mikali kwenye siasa ni uwendawazimu, iko siku utajikuta peke yako, au utafute wanachama wako binafsi, lakini sio umma wa watanzania.

Alichokisema Lissu ndio maana halisi ya kubadili gia angani, unabadili gia angani kwa kuwapa watanzania kile kitu wanachotaka, wanakujibu kwa kukupa kura zaidi ya milioni sita za mgombea urais licha ya nyingine kuibwa, kuongeza idadi ya wabunge, na pesa za ruzuku kwa chama.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂

Vita ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 9
 
Kama kweli Chadema walifanya huo utafiti na kupata majibu hayo aliyosema Lissu, basi Chadema kama taasisi wako vizuri kwenye tafiti.

Nikikumbuka yale mafuriko ya Lowassa, kama Chadema walishayaona kabla hayajatokea, wako vizuri kama taasisi iliyo chini ya Mbowe - the genius.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Utafiti ulifanywa na Kampuni ya Kimataifa na ripoti alikabidhiwa Katibu Mkuu Dr Slaa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9

Kwamba palikuwepo na Kipaumbele namba 1,2,3... na 8 au 9 ndio kilikuwa Vita dhidi ya Ufisadi

Kwahiyo Wapiga kura walikuwa na mambo 7 waliyohitaji kuliko Vita ya Ufisadi na kwa maana Hiyo Sera ya Chadema na maono ya mgombea wetu hayakuendana na Matamanio ya Wapiga kura kwa Wakati huo ie 2015

Ndio tukaamua kumkaribisha mzee Lowassa aliyesheheni Matamanio ya Wapiga kura, amesema Tundu Lisu

Credit: The Big Agenda Star tv
umna lay down a trap ili kazee ka watu kaje kubwatuka ee 🐒

Lisu bana,
kumbe huyu dingiii Dr.Slaaa anakutisha na unamgwaya eee🐒

na kwamba wakati ule hakufaa kwasababu uloitaja,
But saivi kuna ufisadi mwingi na kwahiyo yeye Dr.slaa ndie anafaa zaidi kuliko wewe right?

By the way huyo ndio chaguo la chairman, trust me.
utafinyiliwa mbali mapema zaidi ya hayati ENL alivyofanyiwa kule kwa chama chake 🐒

Patamu apo 🐒
 
Kama kweli Chadema walifanya huo utafiti na kupata majibu hayo aliyosema Lissu, basi Chadema kama taasisi wako vizuri kwenye tafiti.

Nikikumbuka yale mafuriko ya Lowassa, kama Chadema walishayaona kabla hayajatokea, basi wako vizuri kama taasisi iliyo chini ya Mbowe - the genius.

Chama cha siasa ni watu, na ili kuungwa mkono na watu lazima uwape kile wanachotaka kwa wakati husika, bila kujali kama kinaendana kinyume na matarajio yenu, kuwa na misimamo mikali kwenye siasa ni uwendawazimu, iko siku utajikuta peke yako, au utafute wanachama wako binafsi, lakini sio umma wa watanzania.

Alichokisema Lissu ndio maana halisi ya kubadili gia angani, unabadili fia angani kwa kuwapa watanzania wanachotaka, wanakujibu kwa kukupa kura zaidi ya milioni sita za mgombea urais licha ya nyingine kuibwa, kuongeza idadi ya wabunge, na pesa za ruzuku kwa chama.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
hahahaha nchi hii
ufisadi ni agenda namba 8-9 huko

porojo za kuhararisha kumpokea eddo na kuficha walivyo mzodoa yeye kuwa fisadi hakuna utafiti hapo
 
POROJO YA KUFICHA UUZAJI WA CHAMA KWA LUWASA.LISU BDO ANAMWOGOPA DR SLAA.infact dr slaa ni zaidi ya lisu.
 
Write your reply...TUONE HYO JINA YA KAMPUNI NA MATOKEO YAKE,WANACHOOGOPA NN SASA.
 
hahahaha nchi hii
ufisadi ni agenda namba 8-9 huko

porojo za kuhararisha kumpokea eddo na kuficha walivyo mzodoa yeye kuwa fisadi hakuna utafiti hapo
Watanzania sio wajinga, waliwasikiliza mnavyomuita Eddo fisadi, wakawasubiri mumpeleke mahakamani, kisha wakashangaa mnaogopa kukanyaga mahakamani, wakaona kumbe hawa walikuwa wanatupigia kelele tu za kisiasa.

Wakaamua, sasa sisi kwa wingi wetu tunamtaka huyo "fisadi wenu" - Chadema wakawapa, wakapewa kura milioni sita na nyingine kuchakachuliwa na CCM, kuongeza idadi ya wabunge, na ruzuku na kwa chama.

Au wewe ulikuwa na ushahidi wa ufisadi wa Eddo ukaishia kuukalia miaka yote?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli Chadema walifanya huo utafiti na kupata majibu hayo aliyosema Lissu, basi Chadema kama taasisi wako vizuri kwenye tafiti, nikikumbuka yale mafuriko ya Lowassa, kama Chadema walishayaona kabla hayajatokea, basi wako vizuri kama taasisi iliyo chini ya Mbowe - the genius.

Siku zote chama cha siasa ni watu, na ili kuungwa mkono na watu lazima uwape kile wanachotaka kwa wakati husika, bila kujali kama kinaenda kinyume na matarajio yenu, kuwa na misimamo mikali kwenye siasa ni uwendawazimu, iko siku utajikuta peke yako, au utafute wanachama wako binafsi, lakini sio umma wa watanzania.

Alichokisema Lissu ndio maana halisi ya kubadili gia angani, unabadili gia angani kwa kuwapa watanzania kile kitu wanachotaka, wanakujibu kwa kukupa kura zaidi ya milioni sita za mgombea urais licha ya nyingine kuibwa, kuongeza idadi ya wabunge, na pesa za ruzuku kwa chama.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ingekuwa Lissu ni kocha wa Taifa Stars na tunacheza na Brazil, bila tungewachapa 5 bila.
 
Back
Top Bottom