Hii ilikuwa Wiki ya CHADEMA, Wameandamana, Tundu Lissu kahojiwa Star tv na Mbowe kawa Mfariji Mkuu msibani kwa Lowassa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,008
Hii wiki Nyota ya Chadema imeng'aa sana kwani kila kikwazo kilichoibuka mbele yao Walikiruka

Tulitangaziwa Tundu Lisu angehojiwa Star tv lakini hatukumuona na badala yake Mjumbe wa CCM ndio akatimba kipindini lakini jana Lisu alikuwa kwenye kipindi kwa kujiachia Kabisa

Kamati ya Maridhiano ya Taifa ilihofu maandamano ya Chadema lakini hawa jamaa wa Ufipa walioandamana kwa Amani na kistaarabu Kabisa

Leo msibani kwa Lowassa Mwenyekiti Mbowe hakuwemo kwenye Ratiba ya kiserikali lakini familia ikampa fursa ya kuongea kama mwanafamilia na Yeye akajiongeza na kutumia fursa hiyo kutoa salamu za Chadema

Mungu wa Mbinguni ibariki Chadema

Mlale unono 😀😀
 
CCM inaujinga Mwingi sana... Yaani hivi ukisema Lowasa alihamia CHADEMA utakidhofiisha Chama! Huu ni ukweli ambao Kila mtu anaujua!
Upumbavu mtupu!
 
CCM ni chama fulani kimejaa wapumbavu sana top bottom, down up. Chadema nayo imejichokea hoii bin taban, no hopes any more kwa watanzania
 
Hii wiki Nyota ya Chadema imeng'aa sana kwani kila kikwazo kilichoibuka mbele yao Walikiruka

Tulitangaziwa Tundu Lisu angehojiwa Star tv lakini hatukumuona na badala yake Mjumbe wa CCM ndio akatimba kipindini lakini jana Lisu alikuwa kwenye kipindi kwa kujiachia Kabisa

Kamati ya Maridhiano ya Taifa ilihofu maandamano ya Chadema lakini hawa jamaa wa Ufipa walioandamana kwa Amani na kistaarabu Kabisa

Leo msibani kwa Lowassa Mwenyekiti Mbowe hakuwemo kwenye Ratiba ya kiserikali lakini familia ikampa fursa ya kuongea kama mwanafamilia na Yeye akajiongeza na kutumia fursa hiyo kutoa salamu za Chadema

Mungu wa Mbinguni ibariki Chadema

Mlale unono 😀😀
na bado hawna content ya maana 🐒
 
CCM inaujinga Mwingi sana... Yaani hivi ukisema Lowasa alihamia CHADEMA utakidhofiisha Chama! Huu ni ukweli ambao Kila mtu anaujua!
Upumbavu mtupu!
Tatizo la CCM ni kumwangusha Rais Samia kisayansi sana kuhusu 4 R zake wanao mtandao mbaya sana kwa vile baadhi ya mambo yanayofanyika dhidi ya wapinzani yanachafua image ya serikali na kuwapa political millage wapinzani kwa wananchi. Mama ajifunze kitu kuwa baadhi ya viongozi ccm wamezikubali 4R kwa shingo upande mindset zao ziko kulekule. Wangetamani waendelee na kuipasua nchi na amani isiwepo kwa maslahi yao. Hata Nyerere kuingia vyama vingi yalimsibu hayahaya( resistance to change) Mama uwe makini na wanaokutakia mabaya.
 
Ila kusema kweli Katika wazungumzaji wazuri 5 Tz Mbowe hawezi kukosa kuwa ndani ya 3 Bora!
Kama kuna anaebisha basi aniwekee mkeka wa wazungumzaji wazuri zaidi ya Mbowe bila ushabiki!
 
Back
Top Bottom