Viongozi wa CHADEMA Wameanza kuingia Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,749
218,338
Screenshot_2024-02-18-18-02-09-1.png

Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili nyingine .

Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .

RATIBA KAMILI ya ruti za maandamano hayo hii hapa

Mbalizi - Ruanda Nzovwe

Uyole - Ruanda Nzovwe

Isanga - Ruanda Nzovwe

Sisi watoto wenu wa Chadema tumerudi nyumbani , tunawaomba sana Wazee wetu mtupokee na mtuunge mkono , Ndaga Fijo
 
Wewe humjui mwamba yule. Saa hizi kakodoa macho kwenye infinix yake anaandika uzi wa jinsi mama alivyowatoa watanzania machozi ya furaha kwenda Ethiopia baada ya kuzika tu🤣
Jamaa huwa akiandika uzi JF ana vibweka sana.Utadhani yupo UNSC anahutubia.Ataanza..."Ndugu zangu blah blah blah"...!Anakuwa ameshashiba maparachichi kakaa chini ya mti muda huo.Luca kiboko!
 
View attachment 2908061

Ndio kama mlivyosikia , Tayari viongozi wa Chadema Wameanza kuingia Mbeya , ukiangalia Mbeya leo unaona kabisa kwamba kuna shangwe fulani zimeanza mitaani , watu ni wengi kiasi kuliko Jumapili nyingine .

Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .

RATIBA KAMILI ya ruti za maandamano hayo hii hapa

Mbalizi - Ruanda Nzovwe

Uyole - Ruanda Nzovwe

Isanga - Ruanda Nzovwe

Sisi watoto wenu wa Chadema tumerudi nyumbani , tunawaomba sana Wazee wetu mtupokee na mtuunge mkono , Ndaga Fijo
Tayari Jeshi la polisi limeahidi kulinda Maandamano ya Chadema na wananchi na kwamba hali ya usalama itaimarishwa .
 
Jiandaeni Arusha msituangushe Watz.

Hadi sasa Jiji la Mza linaongoza, likifuatiwa na Dar!!
Tumeshauri gali za Matangazo zianze Kesho....amsha amsha...ili hata sisimizi wapate Taarifa

Kanda za Arusha zigawanywe..

Mrombo Olasitee Majengo Mbauda Kisongo Monduli tukutane Kona ya Mbauda ...kwa mrombo mkusanyiko unaweza kuanzia sokoni mrombo

Ngaramtoni na vitongoji vyake mguu kutokea ngara uzowe kwa Iddi na azimio sakina breki Tekiniko kuusubiri msafara wa Mrombo

Ilboru Elkidinga Mianzini tukutanee Mataa mianzini

Usa Tengeru Ngurero mguu kwa mguu tuwasombe sekei arumeru pale Novotel mafuriko yawasombe Sanawari breki Mianzini mataa kukutana na nyomi kuelekea Relini

Kijenge Mwanama chekereni njiro.....Impala

Ungalimitedi Dampo...

Sombetini....

Babati Kateshi Mbulu Karatu Loliondo Mto wa Mbu...Magharibi

Namanga Longido.....Kaskazini

Kiteto Simanjiro Naberera Kimotoro ...KUSIN

East Tanga Moshi

Arusha ITASIMAMA kishindo mpaka Kalema Mpanda
 
Eeeee bhana Eeee
 
Hiyo ni 🔥, maridhiano Uchwara yalituchelewesha.
 
Back
Top Bottom