Dkt. Hussein Mwinyi nilikushauri haya kwa ajili ya Usalama wa Zanzibari

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,248
4,086
Dr. Mwinyi, nilikueleza Democracy inamipaka yake. Hata last time tulipoonana.

Ukiendelea ku smile utavuruga amani ya ZNZ. Watu wachache watakutia doa.

Wewe ni Rais kijana mwema na mwenye busara, hata tulipokuwa tunasoma Egypt , ndio upo hivyo, ila haiondoi uhalisia wewe ni Rais , and at some point you have to exercise your authority and power.

Kuna namna nyingi ya kuzoofisha watu hawa, moja wapo ni kuwatia umasikini. Freeze AC zao zote , unda kamati ya kufuatilia mienendo ya hao watu : chukua passport zao , wasitoke
Nje ya ZNZ bila ya kibali.

Duru zimeonesha kuna mkakati wa kuondoa legecy yako na mabadiliko makubwa uliyofanya ZNZ.

Baadhi ya viongozi ZNZ walishazoea kuishi kifisadi, halifahamiki kwa sabahu ZNZ ni nchi ndogo na mambo mengi bado yapo kijima na ndio hao wanataka kukuangusha.

Hata mkakati wa kufanya harmonization ya TRA na Zanzibar Revenue Authority hawautaki kwa sababu wamezoea kuingiza magendo bure , na kutoa mizigo kwa bei chee na kwa kutaja majina tu.

Hawa watu wafanywe mfano once and for all .

USA, haikushindwa kumuondoa JFK Silently but they did publicly ili to leave the lesson behind kwa yoyote.

Ushauri namna ya kuwapa discipline upo hapa chini;

Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake
 
Dr. Mwinyi, nilikueleza Democracy inamipaka yake. Hata last time tulipoonana.

Ukiendelea ku smile utavuruga amani ya ZNZ. Watu wachache watakutia doa.

Wewe ni Rais kijana mwema na mwenye busara, hata tulipokuwa tunasoma Egypt , ndio upo hivyo, ila haiondoi uhalisia wewe ni Rais , and at some point you have to exercise your authority and power.

Kuna namna nyingi ya kuzoofisha watu hawa, moja wapo ni kuwatia umasikini. Freeze AC zao zote , unda kamati ya kufuatilia mienendo ya hao watu : chukua passport zao , wasitoke
Nje ya ZNZ bila ya kibali.

Duru zimeonesha kuna mkakati wa kuondoa legecy yako na mabadiliko makubwa uliyofanya ZNZ.

Baadhi ya viongozi ZNZ walishazoea kuishi kifisadi, halifahamiki kwa sabahu ZNZ ni nchi ndogo na mambo mengi bado yapo kijima na ndio hao wanataka kukuangusha.

Hata mkakati wa kufanya harmonization ya TRA na Zanzibar Revenue Authority hawautaki kwa sababu wamezoea kuingiza magendo bure , na kutoa mizigo kwa bei chee na kwa kutaja majina tu.

Hawa watu wafanywe mfano once and for all .

USA, haikushindwa kumuondoa JFK Silently ; but they did publicly ili to leave the lesson behind kwa yoyote.

Ushauri namna ya kuwapa discipline upo hapa chini;

Ipo Shida kwa SIMAI, Dr Mwinyi, Democracy inamipaka yake
Kwani kuna nini kinaendelea?
 
Acha kuwaza kidikteta we mzee. Ndiyo! Wewe ni mzee, si ulisoma na Dkt. Mwinyi!!.

Kufa kimpango wako huko uliko. Kisukari chako kisikufanye utoe ushauri wa kiboya kwa Dkt. Mwinyi.
 
Back
Top Bottom