Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo na Kagera Sukari

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo

Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH.

Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho baada ya kushindwa kufikia gharama za manunuzi ya mzigo uliokuwa umeingia bandarani.

Siku tatu zilizopita Kagera Sugar iliingiza meli yenye shehena ya sukari katika bandari ya Mwanza kusini lakini baada ya kufikisha mzigo huo, alishindwa kuuza kwa gharama iliyozoeleka kwa msambazaji.

Baada ya mvutano wa gharama za kuuziana sukari, Kagera waliamua kuuza moja kwa moja kwa wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza ambao wamekiri kuuziwa sukari.

Bei ya jumla ambayo Kagera Sukari walitaka kuuza kwa msambazaji mkuu wa kanda ya ziwa kwa mfuko wa KG 25 ni shilingi elfu 70,000 huku mfuko wa KG 50 kwa shilingi 140,000.

Inaelezwa mfuko wa KG 25 Msambazi huuziwa na kagera sukari kwa shilingi elfu 62,000 wakati ule wa KG 50 akiununua kwa shilingi elfu 124,000 kitendo ambacho kimeibua mgogoro.

Kutokana na hali hiyo Msambazaji wa sukari kanda ya ziwa kwa sasa inaelezwa hana mzigo ambapo ofisi zake zimefungwa na kusababisha wananchi kukosa sukari toshelezi.

Mmoja wa wafanyabiashara jijini Mwanza (jina lake limehifadhiwa), amekiri kununua sukari moja kwa moja kutoka Kagera sukari licha ya kudai ununuaji wa sukari wa namna hiyo unaweza kusababisha baadhi ya wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu kuficha sukari.

"Mfano mimi nilipata sukari kutoka kiwandani, Kagera walituuzia sisi moja kwa moja ila nahofia kuna siku nitakosa mzigo, unajuwa wenzetu sio waaminifu wanachukua mzigo wanaficha ili kutengeneza mazingira ya kuadimika," amesema mfanyabiashara huyo.

"Utaratibu mzuri ni ule wakununua kutoka kwa msambazaji maana huyo serikali inaweza kumbana kuliko kila mfanyabiashara kununua moja kwa moja kutoka kiwandani hiyo ni mbaya sana," ameeleza mfanyabiashara huyo.

Hata hivyo kwa sasa hali ya upatikanaji sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni mgumu na sababu kubwa inatajwa ni kiwanda cha Kagera sukari kushindwa kuuza mzigo kwa msambazaji mkuu.

NB: Waziri Bashe anasema sukari nchini ni ya kutosha, lakini cha kushangaza msambazi wa sukari kanda ya ziwa hana sukari hiyo sukari ya kutosha ipo wapi?
 
Ni matokeo ya kamatakamata ya polisi, hata wale waliokuwa wanauza 4500 kwa kilo wanaogopa, Serikali ya kizimkazi iangalie chanzo cha uhaba wa sukari na si kutumia polisi kudhibiti bei
 
Kipawa cha uongozi siyo makalio kwamba kila mtu anayo!
 
Makonda boy afanye ziara Kagera Sugar awapelekee nyomi
 
Serikali iruhusu uagizaji wa sukari toka nje ili kukabiliana na upungufu wa sukari nchini. Bila hivyo enzi za uhujumu uchumi za miaka ya 80s zitarudi. Ni aibu kwa nchi kukosa bidhaa kama sukari wakati huu wa enzi za soko huria.
 
Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo

Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH.

Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho baada ya kushindwa kufikia gharama za manunuzi ya mzigo uliokuwa umeingia bandarani.

Siku tatu zilizopita Kagera Sugar iliingiza meli yenye shehena ya sukari katika bandari ya Mwanza kusini lakini baada ya kufikisha mzigo huo, alishindwa kuuza kwa gharama iliyozoeleka kwa msambazaji.

Baada ya mvutano wa gharama za kuuziana sukari, Kagera waliamua kuuza moja kwa moja kwa wafanyabiashara wakubwa jijini Mwanza ambao wamekiri kuuziwa sukari.

Bei ya jumla ambayo Kagera Sukari walitaka kuuza kwa msambazaji mkuu wa kanda ya ziwa kwa mfuko wa KG 25 ni shilingi elfu 70,000 huku mfuko wa KG 50 kwa shilingi 140,000.

Inaelezwa mfuko wa KG 25 Msambazi huuziwa na kagera sukari kwa shilingi elfu 62,000 wakati ule wa KG 50 akiununua kwa shilingi elfu 124,000 kitendo ambacho kimeibua mgogoro.

Kutokana na hali hiyo Msambazaji wa sukari kanda ya ziwa kwa sasa inaelezwa hana mzigo ambapo ofisi zake zimefungwa na kusababisha wananchi kukosa sukari toshelezi.

Mmoja wa wafanyabiashara jijini Mwanza (jina lake limehifadhiwa), amekiri kununua sukari moja kwa moja kutoka Kagera sukari licha ya kudai ununuaji wa sukari wa namna hiyo unaweza kusababisha baadhi ya wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu kuficha sukari.

"Mfano mimi nilipata sukari kutoka kiwandani, Kagera walituuzia sisi moja kwa moja ila nahofia kuna siku nitakosa mzigo, unajuwa wenzetu sio waaminifu wanachukua mzigo wanaficha ili kutengeneza mazingira ya kuadimika," amesema mfanyabiashara huyo.

"Utaratibu mzuri ni ule wakununua kutoka kwa msambazaji maana huyo serikali inaweza kumbana kuliko kila mfanyabiashara kununua moja kwa moja kutoka kiwandani hiyo ni mbaya sana," ameeleza mfanyabiashara huyo.

Hata hivyo kwa sasa hali ya upatikanaji sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni mgumu na sababu kubwa inatajwa ni kiwanda cha Kagera sukari kushindwa kuuza mzigo kwa msambazaji mkuu.

NB: Waziri Bashe anasema sukari nchini ni ya kutosha, lakini cha kushangaza msambazi wa sukari kanda ya ziwa hana sukari hiyo sukari ya kutosha ipo wapi?
Shida ya sukari ilianzishwa na Magufuli na akatunga sheria ya kipumbavu hii ya eti viwanda ndio view vinaagiza na kuamua nani wampe kama msambazaji.

Lakini sukari ingekuwa soko huru kama awamu ya Jakaya Wala sio ishu.

Mwisho hivi inakuaje Sukari kugeuka big issue Kwa Sasa? Au ndio Serikali inalazimisha watu waache kutumia sukari Kwa Wingi au?

Tumieni asali
 
Alifanya vile sababu vibali vya kuimport sukari vilikuwa chini ya mtu m'moja, mkapa nadhani. Huyo mtu m'moja ndie anaamua kama atashare kibali chake na waingizaji wengine ama la kwahiyo alikuwa na nguvu ya kupangia hadi viwanda vya ndani juu ya bidhaa hiyo ya sukari.

Katika mazingira yale ndipo mzee magufuli akakataza kwann hatima ya sukari iwe mikononi mwa mtu m'moja?

So vibali vikarudishwa wizarani kwa kwamba serikali kupitia wizarani ndio watakao amua kwamba sukari itaingizwa kwa utaratibu gani wakishirikiana na wadau wakuu wa bidhaa hiyo kwa maana ya viwanda na waagizaji kutoka nje.

Sasa kama hilo lilikuwa ni wazo baya sijui mwenzetu ulikuwa unapendekeza kitu gani.

Kwa kinachoendelea sasa ni mchakato wa sukari kuingiliwa na wanasiasa walafi na wafanyabiashara wahuni.

Sukari sio tatizo hata kidogo kwasababu hakuna uhaba wa sukari duniani.

Ukienda tu hapo Brazil wana sukari ya kutosha ambayo serikali wakitoa vibali kwa waingizaji kila m'moja alete kwa kadiri ya uwezo wake na walishe soko kulingana na uhitaji wake then balaa utaliona hapa tutanunua sukari hadi shillingi 1000 kwa kilo moja.

Sukari ipo ila serikalini kuna watu wanacheza na akili za raia kama vile kwenye issues za umeme, maji, mafuta na kadhalika.

Dawa ni raia kupitia taasisi zao za kiraia kugomea hii michezo mara moja na kuchukua hatua kinzani ili mafisadi waogope na kuwa wapole.
 
Swala ipatikane mambo ya urafi sio urafi sio mambo ya msingi.

Sasa hiyo sheria yake yenye msingi wa wivu ndio inatuletea shida.

Sheria inataka importation ifanyike Kupitia viwanda kwamba kile ambacho viwanda hawawezi Kuzalisha ndio wa import ndio hii Sasa Wameshindwa maana hela hata hawana tofauti na kama ingekuwa Kwa watu binafsi.
 
Back
Top Bottom