RC Chalamila: Sipendi Viongozi Wasanii

RC Chalamila: Sipendi Viongozi Wasanii

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,628
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa moja kati ya mambo ambayo hayapendi, ni viongozi ambao hawatimizi majukumu yao na kuanza kutafuta sababu, huku akiwapa jina la wasanii.

Chalamila ameyasema hayo leo Februari 19, 2024 alipoanza ziara ya kimkoa eneo la Mbagala wilayani Temeke.

Huko kwenyewe ndiyo kiwanda cha wasanii

Ova
 
Hataki kuzidiwa usanii
Mbona tunamuona kama muimba kwaya na mapambio
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa moja kati ya mambo ambayo hayapendi, ni viongozi ambao hawatimizi majukumu yao na kuanza kutafuta sababu, huku akiwapa jina la wasanii.

Chalamila ameyasema hayo leo Februari 19, 2024 alipoanza ziara ya kimkoa eneo la Mbagala wilayani Temeke.

View attachment 2909055
Chalamila aambiwe vile vile kuwa hatupendi viongozi wa kisiasa kuingilia mambo technical na kujidai wanayafahamu , kumbe ni wazungu wa reli.
Mtu anaongelea zege ya 25, nondo za 20mm, marine board za 12mm, lakini ubora wake aidha hajui na wala hajazoma contract inasemaje.
Hii ya ujuaji ni hatari.
 
Back
Top Bottom