Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

Kiini cha tatizo lililopo sasa!
Wajumbe wanamwimbia wakimtaka Lowassa, Kikwete ana jina lake mfukoni🤣.....!
 
Sasa yeye kamdhalilisha vipi hapo? Aliwaambia wajumbe waimbe?

Hapo ni baada ya Kikwete kuingia na majina yake ya mfukoni kwenye kamati kuu huku jina la Lowassa likiwa halipo katika orodha.

Ona hata sura yake (Lowassa) hapo ilivyojawa taharuki na majonzi tele.
Hii video uliyoiweka inamdhalilisha zaidi ya unavyodai.
 
Lowassa alikuwa ni chaguo la watu na ilikuwa ni makosa makubwa kumpa Nchi Magufuli.

Kikwete hapo aliwakosea Wananchi na hata alipokuja Upinzani alizulumiwa USHINDI.
Ulisikiliza ile Interview ya Lissu, juzi akiwa Star TV? Alisema walikuwa wamechukuwa wataalam wa kura za maoni wanaoamika sana kutoka nje wakawapa kazi ya kutafiti ni nani anakubalika zaidi kuwa rais kwa wananchi kutoka vyama vyote. Wale wataalam wakawaambia wataifanya hiyo kazi kwa kisiri na watakuja na matokeo. Matokeo yakaonyesha Lowassa ndiye anayekubalika zaidi.
 
Sasa yeye kamdhalilisha vipi hapo? Aliwaambia wajumbe waimbe?

Hapo ni baada ya Kikwete kuingia na majina yake ya mfukoni kwenye kamati kuu huku jina la Lowassa likiwa halipo katika orodha.

Ona hata sura yake (Lowassa) hapo ilivyojawa taharuki na majonzi tele.
Hii video uliyoiweka inamdhalilisha zaidi ya unavyodai.
Hahahahaha..halafu Jk alivyo master anacheka tu .huku akijua next inakuaje..
 
Hahahahaha..mkwere master sana.

..Ni kwasababu Mwenyekiti wa Ccm ana MAJESHI nyuma yake.

..UUkimpinga Mwenyekiti wa Ccm utatumiwa wasiojulikana ili wakushughulikie.

..Umesahau jinsi Bashe na Msukuma walivyotekwa na wanausalama kabla ya vikao vya Ccm?

..Ccm ni chama ambacho wanachama wake hawana nguvu na mamlaka juu ya viongozi wao na haswa Mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom