Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lukolo, Oct 21, 2012.

 1. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145


  Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye mwenyewe Elimu yake ina walakini? Hawezi hata kulocate Zimbabwe katika ramani ya dunia?


  update: Kuna makosa mengi ukiachilia mbali hilo la Zimbabwe. Katika speech yake anaanza na Tanzania ilizaliwa mwaka one nineteen sixty four. Wewe unaifahamu hiyo 1-1964? lakini cha ziada anasema NACTE inaoffer master na PhD. Wewe unaifahamu NACTE ni nini? NACTE inatolea wapi hizi degree? Yaani at the level of waziri wa elimu huwezi kutofautisha NACTE, TCU na vyuo vikuu? What are you doing katika wizara ya elimu kama vitu vidogo kama hivi kwako ni shida?

  Kwa level ya waziri wa wizara ya elimu alitakiwa awe na uwezo wa kufafanua vizuri nini ni nini katika elimu ya Tanzania. Kwa watu ambao hawajui NACTE ni nini wanaweza kudhani ni chuo kikuu. Na wengi watakuwa wanashangaa sana kwamba ni chuo kikuu gani hicho kinachopigiwa chapuo kiasi hicho na Naibu waziri ilihali kuna vyuo vikuu vingine vingi nchini vinavyo award hiyo master na PhD. Ulikuwa ni wajibu wake kudefine NACTE na kueleza institution zinazounda NACTE na namna ambavyo NACTE inafanya kazi ya kuassure quality ya hizo institutions, na si ku award Master na PhD.

  mulugo.jpg
  Picha kwa hisani ya global publishers
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Original Comedy wanawaita vilaza! wakenya wanawaita mburula! Aibu kwa taifa! Ndio maana waTZ tunadhaulika sana kimataifa.Migiro alichemka UN,Tibaijuka alichemsha UN-habitat!
   
 3. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Nimeisikiliza nimecheka sana. Utafikiria ni Zekomedi!!!!!
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Haha, jamaa hata English yake tu kichekesho. Full comedy yaani. Kwa kweli nina wasi wasi sana na uwezo wa huyu jamaa, kuna siku niliwahi kualikwa kwenye ufunguzi wa kituo fulani hapa Dar, jamaa hakuongea chochote cha maana zaidi ya kutulazimisha tumpigie makofi. Nilikuwa namshangaa sana, how on earth unaweza kuwaambia wasikilizaji wakupigie makofi badala ya wewe mwenyewe uongee kitu cha kukufanya upigiwe makofi. Ningekuwa JK, huyu angeshaondoka kwenye uwaziri tangu siku aliyotoa speech hii!
   
 5. k

  katundu Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Zecomedy
  Hao ndio maprofessor wetu wa bongo. Ndio maana na Dhaifu hawezi kuongea chochote cha maana alifundishwa na akina Mulugo. Natamani niwepo kwenye mikutano yao ya baraza la mawaziri. Unatarajia nini kwenye elimu kama wazirii ndio huyo?? Sishangahi kuona wanamweka tena Dr Katunzi kwenye elimu yeye na Mungai walitoa vipindi vya science katika ssule zote za sekondari
   
 6. don12

  don12 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 676
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ilingishi kama ya mama kinda, anayesema, senkyu vere mache
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Huyu ni kilaza namna maelezo ....
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ni aibu! napendekeza ajiuzuru mara moja au aombe msamaha.
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Zimbabwe and Pemba?Mungu wangu
   
 10. mabuba

  mabuba Senior Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 133
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Juzi pia alitoa mpya aliposema, wanafunzi wa kidato cha nne, leo wanafanya somo la Agricuturing. Ah ha ha
   
 11. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  jamaa alikuwa mwalimu wa shule ya msingi hana elimu ya chuo kikuu, angalia cv yake kwenye tovuti ya bunge
   
 12. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Mbona ile Power Point imeandikwa Pemba & Zanzibar lakini yeye akasema Zimbabwe & Pemba.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Naaaaaaaah.... Naibu waziri (wa elimu)? Zimbabwe imetoka wapi Tanzania? Huo mkutano umefanyika South Africa, kuna ulazima gani wa Naibu waziri kuanza kusema Tanzania inapakana na nchi gani, anahutubia watoto wa darasa la kwanza?

  Hii clip inabidi CABINET nzima ione, jamnani hakuna mtu aliyeipitia hiyo presentation kabla mheshimiwa hajapanda ndege?
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah kama waziri wa elimu kilaza hvyo wategemea kupata product gan?pemba na zimbabwe hii kali
   
 15. n

  nlambaa JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo bongo bwana, usishangae wakati mwingine ndo atakuwa waziri mkuu wetu. Nimewahi pia kumsikia kama mara mbili hivi, nikajiuliza sana kuhusu uwezo wake.
   
 16. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Labda sio MTANZANIA!!!!!!!!!!
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nilichogundua kabla ya utandawazi kuna mambo mengi sana yamevurundwa na viongozi wetu sisi bila kujua
   
 18. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  nimeona cv yake jinsi alivyopanda vyeo inatia mashaka
  cv pia haijaandaliwa vizuri
  nani kamwandalia hii hotuba?
   
 19. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ni kumshikia kidedea aondoke kwenye ofisi nyeti kama hiyo, JK ampangie kazi nyingine anatuaibisha sana. Hafai kwenye hiyo nafasi. Hope UWT wanaiona hiyo aibu, na watasaidia kufikisha ujumbe!!
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hadi nimehisi kichefuchefu, ni kilaza mkuu kati ya mawaziri wote
  yaani hata introduction anasoma hawezi kutaja muungano umetokana na nchi zipi
  fun enough hata pronunciation yake ni ya utata nadhani amefaulu kwa kudesa.
  a minister yewomi shame upon him kaliabisha taifa kajiabisha yeye na familia yake
  kamwaibisha pia aliemteuwa,
   
Loading...