Hashim Rungwe: CCM inawafanyia wananchi ukatili

Watanzania tunaojivunia jeuri yetu ya vyama, kweli tunavumilia ukatili na kuuzoea kuona ni kitu cha kawaida!

Tumekosea wapi ? Hatutaki kupiga kelele, hatutaki kuandamana, hatutaki kujadiliana kufuatia maneno haya mazito, tumebaki kimya, kweli tumefikia hatua hiyo ?
 
Huyu ndie alipaswa kuwa Rais Sasa, Mzee wetu wa Bahari motors. Mgombea Urais wa muda wote.

Mzee aligundua shida ya Lishe ndio tatizo kubwa Kwa watanzania watu hawakumuelewa.
 
Sasa TANESCO kushitakiwa, baada ya ukatili dhidi ya haki za binadamu

TANESCO KUSHTAKIWA KWA KUKATA UMEME, HAKI ZA BINADAMU WAELEZA "NI UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU"


View: https://m.youtube.com/watch?v=GaG4inefkQg
Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) umesema umeme pia ni Sehemu ya Haki za Binadamu kwa kuwa raia ... asema mkurugenzi mtendaji wa LHRC Dr. Anna Henga, alipokuwa akiongea na kufafanua maana pana ya haki ikiwemo haki ya umeme ..
 
Hata mikopo ya vijana wanapewa uvccm tu tena kwa kujuana

Mzinduke, haki za binadamu siyo hisani, CHAUMMA, THRDC wanawapa elimu ya kiraia bure. Tarehe 20 February 2024 mjitokeze kwa wingi kama kweli mnataka mabadiliko na maendeleo ya watu
 
Back
Top Bottom