Ninawashauri CHADEMA wabadili kauli mbiu yao kutoka; "Peoples Power" na kuiita "Nguvu, Nguvu ya Umaa".
Sababu ya kushauri hivyo, sisi ni Waafrika kwanini tusitumie Kiswahili chetu katika mambo yetu ya hamasa kuliko kutumia maneno ya Kiingereza?
Huku kijijni hatujui Kiingereza na tumekuwa kama kasuku tukisema "Peoples Power" na hata hatujui maana yake. Jina la chama chenu ni sahihi kabisa "CHADEMA" Chama cha Demokrasia na Maendeleo" hapa kila Mtanzania anajua maana yake.
Sisi ni Waswahili tusiige vitu ambavyo havitufai.