Hili la umeme tuu linatosha kuiambia Serikali ijiuzulu na kutoka madarakani

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Hivi ni nani kwa hali hii ya Umeme hajapata athari za kiuchumi, kijamii na hata kiuhai?

Watu wamefilisika, biashara zimekufa, wamepoteza uhai na kadhalika kwa uongozi wa chama cha mapinduzi kushindwa kutatua mgogoro huu zaidi ya watendaji wakuu wahusika kujitajirisha?

Je, serikali hii ni halali kuendelea kuwepo madarakani kwa vile tuu imetengeneza propaganda za kusifiana na sisi wananchi kufanywa mazuzu?

Tuseme kwa pamoja kuwa ONDOKENI SASA maana naiona October 2025 kuwa ni mbali mno kama taifa tunaweza tusifike huko bila kusambaratika kwani haya mengine yakukosa Sukari, Dola (foreign currency) nk ni kibwagizo tuu mbele ya umeme.
 
ungekua offline ata 2hrs tu ningeweza kuona una lalamiko la maana....

lakini hii ya uko online 24/7 halafu unakuja apa eti sijui umeme fyokofyofyo, thubutu weee.......:cool:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom