Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia vizuri mapendekezo ya marekebisho ambayo vyama na wadau wanapigia kelele yarekebishwe ni ya msingi. Lakini sioni faida yeyeote ya maana kwa chama tawala cha CCM wala serikali kwa kuweka...
3 Reactions
1 Replies
540 Views
Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
1 Reactions
9 Replies
1K Views
kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na...
1 Reactions
1 Replies
617 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya habari iliyorushwa na kituo cha Star TV na Itv jioni ya leo, wamemwonyesha Rais Kikwete akiwataka wazee wa CCM waliokuwa madarakani wakati wao, wasiwe wanayumbisha utawala...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Tukubali kuwa wahenga hawa walikuwa watu wa kipekee sio kwasababu walikuwa viongozi wa nchi na watu wenye madaraka makubwa, bali kwasababu ya utu wao hata walipokuwa hawapo madarakani. Wahenga...
2 Reactions
3 Replies
338 Views
Hili ndio wengi ambao ni wafuatiliaji wakubwa wa siasa tunaliona. Kumbuka generation za viongozi ambao wapo madarakani wenye kutaka kile kiti ndio walisumbua sana 2015 kwa ajili ya mkakati wa...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu tumeshuhudia vyama vya upinzani vikiongozwa kwa matakwa wamiliki wa vyama husika .Mfano halisi ni TLP na UDP.Kutokana na hivyo vyma kuendeshwa kwa matakwa ya mtu binafsi...
1 Reactions
5 Replies
647 Views
By Godlisten Malisa Kuanzia tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Rais Samia amesema serikali yake haitazuia Maandamano ya Vyama vya Siasa kwani Hiyo ndio demokrasia. Vyama vya Upinzani vitaendelea kuruhusiwa kufanya Maandamano na Mikutano ya hadhara. ===...
17 Reactions
103 Replies
8K Views
Nasoma muhtasari wa Kitabu cha Maisha ya Mzee Mwinyi "Rukhsa" Mwinyi anaandika "Waswahili husema unadhani umepata kumbe Umepatikana. Niliukumbuka msemo huo miezi kadhaa baada ya kumteua Augustine...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana...
2 Reactions
2 Replies
617 Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa...
21 Reactions
131 Replies
10K Views
Approach walioichukua watoa huduma za afya binafsi inashangaza na kusikitisha. Naona kabisa maslahi yakiwa na nguvu sana kuliko utu. --- Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka Vyama...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais Samia amesema baada ya Rais Mwinyi kuingia madarakani Gazeti la Economist la UK liliandika " Rais Mwinyi hawezi kuleta nafuu yoyote kwenye Uchumi dhaifu sana wa Tanzania kwa sababu Mwinyi ni...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Samia amesema hayati Mwinyi alikuwa baba wa Demokrasia aliyeamini katika Uwajibikaji na Uzalendo Mzee Mwinyi alisisitiza sana katika Uwajibikaji kila mmoja Eneo alipo badala ya kila Siku...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha. Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa...
2 Reactions
5 Replies
729 Views
Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…