Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

Hii ni hatua kubwa na nzuri sana ya namna ya kuendesha vyama.

ACT Wazalendo wametisha sana
ACT tangu wakubali kuingia kwenye serikali mseto wamekuwa ni wale wale. Hivi umesikia Mwinyi anavyofisadi huko Zenji? Na hili analifanya huku hao washirika wake wa ACT wako kimya. Wahoji nini wakati nao wamekaa meza ya makulaji?
 
ACT Wazalendo wamefanya jambo zuri sana katika siasa. Mdahalo ni sehemu muhimu ya shughuli za siasa

Kuna mapungufu makubwa yaliyotokana ima na mwendesha mdahalo au kamati ya maandalizi.

Vijana ndio viongozi wa vyama katika miaka michache ijayo, tunayo mifano mingi hai na mmoja ni Zitto
Tulitegemea mdahalo uongelee mambo kwa upana ili kujua uelewa wa viongozi hao.
1. Sera za nchi kitaifa- ni kipi kifanyike , kipi kizuri au kipi kinahitaji maboresho
2. Kimataifa- nini mtazamo wa vijana hao kwa jicho la Dunia
3. Uchumi- nini mtazamo wa sera za uchumi
4. Siasa- nini mtazamo wao kuhusu mambo mazito ya siasa nchini kama Muungano

Kulitakiwa uwanda wa majadiliano uwe mpana tofauti na nilivyoona. Ulikuwa kama mjadala wa highschool

Nadhani kwa mijadala inayofauta ya chama hicho au vingine ni muhimu wawepo waongozaji wenye mitazamo mipana ya masuala anuai katika jamii.

Nadhani muongozaji alipwaya sana na kamati hhaikumsaidia kuufanya mdahaho uwe moto na wenye tija

Pascal Mayalla una uwezo wa kuongoza shughuli hizi najua, na hapa nakupigia chapuo kwa weledi.

JokaKuu Zitto Kabwe
 
ACT Wazalendo wamefanya jambo zuri sana katika siasa. Mdahalo ni sehemu muhimu ya shughuli za siasa

Kuna mapungufu makubwa yaliyotokana ima na mwendesha mdahalo au kamati ya maandalizi..

Nadhani muongozaji alipwaya sana na kamati hhaikumsaidia kuufanya mdahaho uwe moto na wenye tija

Pascal Mayalla una uwezo wa kuongoza shughuli hizi najua, na hapa nakupigia chapuo kwa weledi.

JokaKuu Zitto Kabwe
Asante sana kunifikiria kuwa ninaweza, nimeanza mdogo mdogo, angalia Channel Ten kila Jumapili saa 3:00 usiku, 2025 tutaendesha midahalo.

P
 
Asante sana kunifikiria kuwa ninaweza, nimeanza mdogo mdogo, angalia Channel Ten kila Jumapili saa 3:00 usiku, 2025 tutaendesha midahalo.
P
P
Sasa P kwanini usiweke hapa JF pia? ni vema ili tulioshindwa kuangalia Jumapili tupate fursa.
Please ongea na JF sidhani kama kuna tabu kwa hilo
 
Back
Top Bottom