Wanabodi,
Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu...
SALAAM ZA RAMBIRAMBI ZA WANANCHI WA JIMBO LA KISESA WILAYA YA MEATU KWA WATANZANIA NA FAMILIA YA MZEE ALI HASSAN MWINYI RAIS WA TANZANIA WA AWAMU YA PILI KWENYE IBADA MAALUM ILIYOFANYIKA KANISA LA...
Nimezoea kabla ya DP World kupewa bandari ilikua inachukua walau siku7 mpaka mzigo wako unatoka bandarini ila kwa sasa meli ikiingia bandarini basi hesabu mwezi mmoja au zaidi ndio mzigo wako...
Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu.
Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia...
Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu...
Tamko la ACT Wazalendo kusitishwa kwa Bima ya NHIF kutumika katika hospitali binafsi nchini.
ACT Wazalendo tumeshtushwa na mivutano kati ya Serikali kupitia Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) na chama...
Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka.
Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi.
Uwekapo ahadi hugeuka...
Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani...
Wasifu wa hayati Mwinyi unasema Elimu yake ni Diploma ya Ualimu aliyoipata nchini Uingereza
Natafakari namna Diploma ya Ualimu ilivyotuletea mabadiliko makubwa tena chanya ya Kiuchumi na kisiasa...
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba...
Hawa Viongozi Watatu niliwakubali sana katika Utumishi
Kupitia Wao niliweza kuuona Wema wa ndugu zetu Waislamu
Kuchafuana kisiasa kupo lakini hawa walijua maana ya Kuongoza Watu
Sikushangaa...
Raisi Mstaafu wa Zanzibar Dr Shein akitoa salamu Kuaga Mwili wa Raisi Mstaafu wa Mwinyi uwanja wa Amani Zanzibar asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita...
Wanzanzibari hawataki Muungano wanalazimishwa tu na huu ndio ukweli na wengi wao wanatamani ivunjike hata kesho. Na siku ikitokea Rais hata wa CCM zanzibar akataka Muungano ivunjwe nina uhakikia...
Kwa niaba yangu binafsi na wana Bunju tunashukuru mno kwa kambi uliyoweka zaidi ya wiki kutatua migogoro ya ardhi na kubwa zaidi ni kubeba timu zima kuhakikisha wananchi wana rasimisha ardhi zao...
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili ...
Nilikuwa darasa la pili mwaka 1992, Shule ya msingi Bungo pale Morogoro mjini, nilipomuona kwa mara ya kwanza Rais Ali Hassan Mwinyi akishuka kwenye helkopta viwanja vya Gymkhana kuelekea uwanja...
Serikali ya CCM imekuwa ikitoa huduma kwa Watanzania wote bila kujali rangi, kabila, dini au eneo hilo viongozi wanatokana na chama gani.
Kuna majimbo mengi Wabunge wake waliwahi toka vyama...
Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani...
Binaadam yoyote akifa hana thamani tena ndani ya jamii
Hakuna anaekubali kulala na maiti ktk chumba kimoja hasa hio maiti iwe ya tajiri au kiongozi mkuu
Wakiondoka viongozi basi sisi wa chini...