Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,190
11,618
Kuanzia muundo wa msingi wake, hadi mfumo wa kiutendaji, imejengwa imara sana kitaasisi na hivyo ni ngumu sana kutikiswa wala kuyumbishwa na dhoruba au tetemeko lolote la kisiasa la kutoka ndani au nje ya chama.
Msingi wake una mizizi ya kitaifa na kimataifa.

Imejengwa kukabiliana, kudhibiti na kuhimili barabara vishindo na mikiki mikiki ya kisakolojia, ya kifikra, sayansi na technoligia kutoka ndani na nje ya chama, kwa weledi, umahiri na umakini mkubwa sana, bila kuathiri uimara na umadhubuti wake.

Msingi wake umejengwa ili kuishi vizazi na vizazi vijavyo. Umeandaliwa vema kunajitegemea na kunajilinda wenyewe dhidi ya dhoruba mbalimbali za kisiasa..

Wanachama wake wa kongwe na vijana, ni imara zaidi kuzui mawimbi na kudhibit vuguvugu dhaifu sana za siasa za mihemko, malalamiko na harakati ambazo hazidumu na ambazo hubadilika kila wakati na kukosa muendelezo, dira au uelekeo. Na imekua rahisi kuzisambaratisha kirahisi na kuzitokomeza kabisa.

Wengi walio kihama chama hiki na kukimbiliea kwa wanaokipinga hukatishwa tamaa na hali hiyo, na hivyo wengi wao wamerejea chamani na wanasonga mbele.

Ndio maana nyakati hizi, vijijini na mijini, wanao kipinga chama hiki kilichowalea,
huadhibiwa vikali sana kwenye sanduku la kura na wapiga kura wenyewe.

Ni vigumu mno kuidhoofisha, kuisambaratisha au kuishinda CCM ilojengwa kwenye mioyo na saikolojia za wanainchi, kwenye msingi imara ya utu, usawa na haki kwa binadamu wote.
Haishindiki wala haibomoleki
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI 🐒
 
Cha cha kifisadi,waliopo kwenye system miaka nenda rudi wanaweka misingi ya kulinda upigaji wao ili waendelee kukaa hata kizazi na kizazi,miaka yote ya uhuru chama na serikali yake kila kampeni wanaahidi umeme wa uhakika.

Huoni hata aibu mkuu kusifia huo ujinga?
 
So ungesema no virungu na polisi !!?

Na kujipendekeza kwa jeshi!!?

Umeme unakata hovyo halafu unasema chama kina misingi !!?misingi gani zaidi ya usanii na ujanja ujanja!!?

Tuambizane ukweli sisi wanaccm tunashinda Kwa kutumia Dola hats katibu mkuu mstaafu Dr Bashiru alisema live bila chenga!!!

Mimi Nina KADI ya electronic kabisa na na SEMA kweli tunashinda Kwa nguvu ya polisi na hofu ya walim kipindi Cha usimamizi was uchaguzi Hilo lipo wazi!!

Lakini sanduku likiachwa huru sidhani kabisa mkuu!!!
Usifikiri Tz nzima ni majimbo ya tabora huko lilipo jimbo lako!!
 
Sawa 🌈 japo sijasoma hilo gazeti lako.
 
CCM itabakia kuwa chama kiongozi barani Afrika. ndio chama pekee chenye kulihakikishia Taifa hili amani na utulivu .ndio chama chenye kuwapa maendeleo watanzania.ndio chama chenye uchungu na maisha ya watanzania.ndio chama kinachogusa maisha ya watu.ndio chama chenye ajenda na sera za kueleweka na kugusa maisha na mahitaji ya watanzania.ndio chama kinachowajali na kuwatumikia watanzania pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile kwa misingi ya aina yoyote ile.
 
Kwanini basi mnaogopa kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi na katiba mpya?
Sio bure, umerogwa wewe!
chama hiki ndicho kilicho na wabunge wengi zaidi, na ndicho kilicho na uwakilishi mpana zaidi wa wananchi kwenye vyombo vya maamuzi 🐒

mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi chimbuko lake ni wananchi na hao wawakilishi waliopo mjengoni 🐒

wenye uwakilishi finyu wameskizwa kwa mujibu wa sheria. Wengi wape wachache waskizwe...
 
  • Thanks
Reactions: Tui
So ungesema no virungu na polisi !!?

Na kujipendekeza kwa jeshi!!?

Umeme unakata hovyo halafu unasema chama kina misingi !!?misingi gani zaidi ya usanii na ujanja ujanja!!?

Tuambizane ukweli sisi wanaccm tunashinda Kwa kutumia Dola hats katibu mkuu mstaafu Dr Bashiru alisema live bila chenga!!!

Mimi Nina KADI ya electronic kabisa na na SEMA kweli tunashinda Kwa nguvu ya polisi na hofu ya walim kipindi Cha usimamizi was uchaguzi Hilo lipo wazi!!

Lakini sanduku likiachwa huru sidhani kabisa mkuu!!!
Usifikiri Tz nzima ni majimbo ya tabora huko lilipo jimbo lako!!
CCM kua na kadi ya kieletronic hakukufanyi kua bora zaidi ya asie na kadi ya kieletronic. Binadamu wote ni sawa 🐒

Lengo la CCM ni kushika dola hiyo huruma au hisani labda ukatafute mahali pengine 🐒

wewe babaika sijui na bashiru sijui, sijui polisi, sijui dollar au sijui nani visingizio ambavyo havijawahi badilika 🐒

utasubiri sana, utalalama sana 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Cha cha kifisadi,waliopo kwenye system miaka nenda rudi wanaweka misingi ya kulinda upigaji wao ili waendelee kukaa hata kizazi na kizazi,miaka yote ya uhuru chama na serikali yake kila kampeni wanaahidi umeme wa uhakika.

Huoni hata aibu mkuu kusifia huo ujinga?
unaweza kutaja chochote kibaya au kiovu kuhusu CCM but CCM haitapoteza lengo 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom