Bora DP World wasingepewa bandari! Inachukua zaidi ya mwezi kupata mzigo bandarini

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,257
34,205
Nimezoea kabla ya DP World kupewa bandari ilikua inachukua walau siku7 mpaka mzigo wako unatoka bandarini ila kwa sasa meli ikiingia bandarini basi hesabu mwezi mmoja au zaidi ndio mzigo wako unaupata!

Hali ni mbaya! Je hawa ndio DP World tuliokua tunaambiwa watafanya bandari yetu iwe ya kisasa?

Hivi samia anajua hii shida ya bandarini?
 
Rais ameharibu kila sehemu hakuna alichobakiza kila sehemu kaharibu hakika kilichobaki ni vilio kila kona tuu!
 
Tumerudi miaka ile ya ujima.

Mtu anaagiza kitu inamchukua mwaka kukipata.

Na wana mkataba wa milele hawana haraka hivyo.
Kuna elite class ndani ya tnznia ambayo imejimilikisha haki ya kula keki ya taifa, nadhani hata Samia kupewa tickect ya mgombea mwenza 2015 ilikua move yao. Walijua Magu ni mgonjwa wa moyo na ikitokea ameanguka basi wana mtu wao tayari kwa ajili ya kushika hatamu.
 
Nimezoea kabla ya DP World kupewa bandari ilikua inachukua walau siku7 mpaka mzigo wako unatoka bandarini ila kwa sasa meli ikiingia bandarini basi hesabu mwezi mmoja au zaidi ndio mzigo wako unaupata!

Hali ni mbaya! Je hawa ndio DP World tuliokua tunaambiwa watafanya bandari yetu iwe ya kisasa?

Hivi samia anajua hii shida ya bandarini?
Ndio shida ya ujinga. DP World lini wamekabidhiwa bandari
 
Back
Top Bottom