Katika kutoa huduma za Jamii Serikali ya CCM haijawahi kubagua Mtanzania wala eneo

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Serikali ya CCM imekuwa ikitoa huduma kwa Watanzania wote bila kujali rangi, kabila, dini au eneo hilo viongozi wanatokana na chama gani.

Kuna majimbo mengi Wabunge wake waliwahi toka vyama pinzani lakini maeneo hayo yana vituo vya Afya bora, Shule nzuri, Barabara safi, Maji, Umeme etc.

Rasimali za Tanzania ni za Watanzania wote, mgawanyo wake hufanywa kwa kuzingatia upatikanaji wake, Uhitaji, etc.

Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania.
 
Maisa yamewagonga vijana, mje jumatatu bandarini, natafuta makuli. Uchawa sio mzuri mwisho mfanywe kama Mwijaku
 
Mbona vijana mmepoteza mvuto Sana , Kuna mambo mengi ya kuandika yenye positivity katika kuisadia jamii sasa why ujikite huko ambako hata haupati political mileage
 
Serikali ya CCM imekuwa ikitoa huduma kwa Watanzania wote bila kujali rangi, kabila, dini au eneo hilo viongozi wanatokana na chama gani.

Kuna majimbo mengi Wabunge wake waliwahi toka vyama pinzani lakini maeneo hayo yana vituo vya Afya bora, Shule nzuri, Barabara safi, Maji, Umeme etc.

Rasimali za Tanzania ni za Watanzania wote, mgawanyo wake hufanywa kwa kuzingatia upatikanaji wake, Uhitaji, etc.

Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania.
Kwa hiyo kauli ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha ni kauli yake si kauli ya CCM?
 
Back
Top Bottom