CCM na ACT wazalendo hawajapewa fursa ya kuzungumza Msibani kwa Mwinyi lakini hawajalalamika kama Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,974
141,986
Chadema wajifunze ukomavu wa kisiasa kama wenzao ACT wazalendo

Siyo kila mahali ni eneo la kufanya siasa

Mlale Unono 😄
 
Back
Top Bottom