Dr Shein asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita mitaani kutafuta wanafunzi

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,217
4,625
Raisi Mstaafu wa Zanzibar Dr Shein akitoa salamu Kuaga Mwili wa Raisi Mstaafu wa Mwinyi uwanja wa Amani Zanzibar asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita mitaani kutafuta wanafunzi wa kufundisha

Kweli marehemu Mwinyi alipenda sana kazi yake ya ualimu tofauti na walimu wa sasa anakwambia sio kazi yangu kutafuta wanafunzi kama hawapo sio kazi yangu kuwatafuta mimi kazi yangu kufundisha basi
 
Kwa maraisi waliotangulia huyu ndo wengi wanampa sifa nzurinzuri na mbaya ni chache mno.
Bila shaka kuna mema mengi alifanya, kongole kwake na apumzike kwa amani.
 
Raisi Mstaafu wa Zanzibar Dr Shein akitoa salamu Kuaga Mwili wa Raisi Mstaafu wa Mwinyi uwanja wa Amani Zanzibar asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita mitaani kutafuta wanafunzi wa kufundisha

Kweli marehemu Mwinyi alipenda sana kazi yake ya ualimu tofauti na walimu wa sasa anakwambia sio kazi yangu kutafuta wanafunzi kama hawapo sio kazi yangu kuwatafuta mimi kazi yangu kufundisha basi
Hahahah, enzi za Personel Management hizo mkuu,sasa walimu wapo kwenye HRM,HRD n.k
Nafikiri umenielewa
 
Raisi Mstaafu wa Zanzibar Dr Shein akitoa salamu Kuaga Mwili wa Raisi Mstaafu wa Mwinyi uwanja wa Amani Zanzibar asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita mitaani kutafuta wanafunzi wa kufundisha

Kweli marehemu Mwinyi alipenda sana kazi yake ya ualimu tofauti na walimu wa sasa anakwambia sio kazi yangu kutafuta wanafunzi kama hawapo sio kazi yangu kuwatafuta mimi kazi yangu kufundisha basi
Waalimu wa cku hizi hata kudai mishahara yao hawawezi ndio kusaka wanafunzi?
 
Umenichekesha ujue
 
Je kipindi hicho kulikuwa na madharau dhidi ya walimu kama ilivyo sasa? Maana siku hizi kuna upuuzi Fulani dhidi ya walimu
 
Back
Top Bottom