Tuseme ukweli kwa CHADEMA hawana awezae kuwa Rais wa Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Nani nauliza tu, ni nani anaweza kuwa Rais na Watanzania wakawa hawana wasiwasi nae!

Niwaonavyo viongozi wa CHADEMA nyuma ya pazia ni wabinafsi.

Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya matendo yao ni magoigoi wanaoweza kukimbia nchi ikiwa wananchi wataamua kuandamana na hawa sifa za usafi, tuseme ni wachumia matumbo.

Kama ni Lissu huyu hana shukurani na amejaa kiburi, Mbowe ni mtu wa chupa yaani wamejaa maulahgai.

Wanachama wa CHADEMA tutajieni kama ataweza kujadilika uchaguzi haupo mbali tena, hatuwasikii makelele ya ya madai ya Tume huru hadi uchaguzi kesho ndio utawaona wanakurupuka kuwalisha wananchi matango pori.
 
Hapo ccm nani mwenye uwezo, miaka 60+ nchi Haina sukari, maji, umeme dola nk Bado TU unaona chadema hakuna ila ccm wapo, some time msiwe mnaonyesha upumbavu wenu, pumbav.
 
Kwenye kuiongoza Ofisi Kuu sidhani kama yupo na wala hatakuja kuwepo mwenye uwezo mdogo zaidi ya CJ (Chui Jike).
 
Nani nauliza tu ,ni nani anaweza kuwa Raisi na WaTZ wakawa hawana wasiwasi nae!

Niwaonavyo viongozi wa Chadema nyuma ya pazia ni wabinafsi .

Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya matendo yao ni magoigoi wanaoweza kukimbia nchi ikiwa wananchi wataamua kuandamana na hawa sifa za usafi ,tuseme ni wachumia matumbo.

Kama ni Lissu huyu hana shukurani na amejaa kiburi,Mbowe ni mtu wa chupa yaani wamejaa maulahgai.

Wachadema tutajieni kama ataweza kujadilika uchaguzi haupo mbali tena, hatuwasikii makelele ya ya madai ya Tume huru hadi uchaguzi kesho ndio utawaona wanakurupuka kuwalisha wananchi matango pori.
Huyu ndio anafaa kuwa rais wenu: Pateni kuitambua saa aina ya Bulgari Serpenti Seduttori: ina vipande 197 vya almasi, 2 vya rubi adimu na karati 16 za saphire (zumaridi)
 
Nani nauliza tu ,ni nani anaweza kuwa Raisi na WaTZ wakawa hawana wasiwasi nae!

Niwaonavyo viongozi wa Chadema nyuma ya pazia ni wabinafsi .

Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya matendo yao ni magoigoi wanaoweza kukimbia nchi ikiwa wananchi wataamua kuandamana na hawa sifa za usafi ,tuseme ni wachumia matumbo.

Kama ni Lissu huyu hana shukurani na amejaa kiburi,Mbowe ni mtu wa chupa yaani wamejaa maulahgai.

Wachadema tutajieni kama ataweza kujadilika uchaguzi haupo mbali tena, hatuwasikii makelele ya ya madai ya Tume huru hadi uchaguzi kesho ndio utawaona wanakurupuka kuwalisha wananchi matango pori.
Mbowe sawa tu na Kenyatta
 
Basi baba yako atakuwa Rais
 
Nani nauliza tu, ni nani anaweza kuwa Rais na Watanzania wakawa hawana wasiwasi nae!

Niwaonavyo viongozi wa CHADEMA nyuma ya pazia ni wabinafsi.

Ukweli wana ueledi wa kufoka ila ukikusanya matendo yao ni magoigoi wanaoweza kukimbia nchi ikiwa wananchi wataamua kuandamana na hawa sifa za usafi, tuseme ni wachumia matumbo.

Kama ni Lissu huyu hana shukurani na amejaa kiburi, Mbowe ni mtu wa chupa yaani wamejaa maulahgai.

Wanachama wa CHADEMA tutajieni kama ataweza kujadilika uchaguzi haupo mbali tena, hatuwasikii makelele ya ya madai ya Tume huru hadi uchaguzi kesho ndio utawaona wanakurupuka kuwalisha wananchi matango pori.
Chama kimepoteza mvuto, viongozi ni wale wale walioshindwa miaka Ile Hadi wanazeeka na chama kinazeeka 🤣🤣

Saizi kina Dr.Slaa wanatafuta pa kumalizia uzee wao huku manyumbu wengine wasijue hatima Yao wakati wenzao wanakula ruzuku 😁😁
 
Back
Top Bottom