Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi fuatilia utendaji kazi wa Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Kilimanjaro

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,460
Kichwa cha habari kinajieleza.

Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro.

"Utakuja kunikumbuka"

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, ukimkuta ana mahusiano na wajumbe wa vikao vya juu vya chama mnitag!

Viongozi wabovu wanajificha ndani ya CCM Kwa kisingizio ni Chadema.
Someni nyakati.huko Hai Katibu ameshindwa kazi, hajui kazi yake ,elimu yake ndogo kuliko kazi aliyopewa, mla rushwa, muongo, hafiki field ni mtu wa kukaa ofisini masaa yote hadi usiku, ni mtu wa majungu, fitina na hakisaidii chama bali ni mbomoa Chama.

Nitaweka ushajidi hapa ili kuonyesha ukweli huu kuwa Katibu huyu kazi imemshinda.
Aondolewe kukinusuru chama cheti.

Wasomi wa CCM okoeni chama chenu dhidi ya huyu KATIBU wa CCM wa Wilaya!!

Hakuna majungu ukweli upon na fuatilieni.

Mkipenda ushahidi mwingine tutaubandika hapa chama na kinaendelea kuumbuka Kwa sababu ya mtu mmoja
 
Safari hii kila mtu atajiokoa mwenyewe, mama yeye asiguswe tu kwenye nafasi yake. Huko kwingine ni ushawishi wa mgombea kwa watu anaowaomba kura .. hivyo Acha kupiga ukungwi mapema hivyo mkuu
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro.

"Utakuja kunikumbuka"
Hao wanajuana
 
Hoja dhidi yake ni ipi haswaa?
 
Kichwa cha habari kinajieleza.

Nina mshauri Kwa moyo mkujufu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi , afuatilie utendaji kazi wa Katibu wa CCMwilaya ya Hai, huko Kilimanjaro.

"Utakuja kunikumbuka"

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, ukimkuta ana mahusiano na wajumbe wa vikao vya juu vya chama mnitag!

Viongozi wabovu wanajificha ndani ya CCM Kwa kisingizio ni Chadema.
Someni nyakati.huko Hai Katibu ameshindwa kazi, hajui kazi yake ,elimu yake ndogo kuliko kazi aliyopewa, mla rushwa, muongo, hafiki field ni mtu wa kukaa ofisini masaa yote hadi usiku, ni mtu wa majungu, fitina na hakisaidii chama bali ni mbomoa Chama.

Nitaweka ushajidi hapa ili kuonyesha ukweli huu kuwa Katibu huyu kazi imemshinda.
Aondolewe kukinusuru chama cheti.

Wasomi wa CCM okoeni chama chenu dhidi ya huyu KATIBU wa CCM wa Wilaya!!

Hakuna majungu ukweli upon na fuatilieni.

Mkipenda ushahidi mwingine tutaubandika hapa chama na kinaendelea kuumbuka Kwa sababu ya mtu mmoja
Uaneni tu.
 
Chadema wameanza kulia mapema sana 🤣🤣🤣
Fuatilia sakata hili, utapata ukweli, na ukibisha ninaweka barua Mwenyekiti wa wilaya aliyo ichapisha mwenyewe akimtuhumu Katibu wake wa wilaya.
Nakala inazurura Kila kono
 
Back
Top Bottom