Profesa Kitila: Serikali imebana matumizi, viongozi hawaishi maisha ya anasa magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,024
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema Serikali imebana Matumizi Viongozi hawaishi Maisha ya Anasa Magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu.

"Watumishi wengine wote tunatumia Magari yetu kama alivyoainisha Waziri wa Fedha Dr. Mwigullu wakati anasoma bajeti ya Nchi" amesisitiza Prof. Kitila.

Source: Jambo TV

Mlale Unono 😀😀🐼
 
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema Serikali imebana Matumizi Viongozi hawaishi Maisha ya Anasa Magari yamebaki kwa Viongozi wa Juu tu

"Watumishi wengine wote tunatumia Magari yetu Kama alivyoainisha Waziri wa Fedha Dr Mwigullu wakati anasoma bajeti ya Nchi" amesisitiza Prof Kitila

Source: Jambo TV

Mlale Unono
 
Ni wajinga pekee ndiyo wataamini hayo maneno ya wanasiasa aina ya Kitila Mkumbo.
 
Hawa ndio maprofesa walioacha kufundisha,hivi kweli hili taifa litakuja kubadilika kama tuna aina ya wasomi waongo,wazandiki na wanafki kama huyu kweli?!
Ile sheria ya China,ya kiongozi mwongo na mbadhilifu kunyongwa ingeletwa bongo,hivi unadhani ni kiongozi gani anepona?
Huyu ndio alituambia pato la mtanzania limepanda,yaani kuna muda napata hasira sana kuona namna hawa jamaa wanavyotuchezea na kutuona hamnazo.

"Eeeh Mungu tuhurumie watu wako,ushughulike na hawa wabinafsi wasiojali haki na usawa na kupindisha sheria wanazozisimamia wenyewe."
 
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema Serikali imebana Matumizi Viongozi hawaishi Maisha ya Anasa Magari yamebaki kwa Viongozi wa Juu tu

"Watumishi wengine wote tunatumia Magari yetu Kama alivyoainisha Waziri wa Fedha Dr Mwigullu wakati anasoma bajeti ya Nchi" amesisitiza Prof Kitila

Source: Jambo TV
🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽 Sisi sio Mazombi
 
Lengo ni Nini, kuwaletea watu maendeleo au waendelee kunywa maji machafu na Ng'ombe ila wao viongozi waendelee kupanda V8 na maposho juu
Lengo ni kushinda uchaguzi, kukamata dollar, kuunda serikali na kwa bidii sana kuwaletea wananchi maendeleo kupitia ilani ya uchaguzi ya CCM
 
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema Serikali imebana Matumizi Viongozi hawaishi Maisha ya Anasa Magari yamebaki kwa Viongozi wa Juu tu

"Watumishi wengine wote tunatumia Magari yetu Kama alivyoainisha Waziri wa Fedha Dr Mwigullu wakati anasoma bajeti ya Nchi" amesisitiza Prof Kitila

Source: Jambo TV

Mlale Unono
HUU NI UONGO KUPATA KUTOKEA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa, tunawaachia wazee mliopoteza mvuto mjipe ushindi wa bwerere maana hamna uwezo wa kushindana tena.
Yes,
ambae hana mvuto akae kando atalindwa vizuri sana bora asilete fujo kwa wanaotumia haki yao ya msingi nao waitekeleze kwa amani...

we zira pekeyako apo hadi uje upate mvuto siku ya mwisho..
sie twasonga pasina wasi
 
Huyu alieandika uwongo huu angeangalia matumizi ya serikali kwenye bajeti kama posho za safari, ndani na nje nchi, mafuta ya magari kwenye misafara nk.
Bajeti karibu yote ni poshooo

Huo ndio ukweli!! Safari, makongamano, warsha, mafunzo ndio vyanzo vikuu vya matumizi makubwa ya serikali.

Hatujaweza kuthibiti matumizi, na ikiendelea hivi - hakutakuwa na mapato yatakayoweza kutuletea maendeleo!!!
 
Back
Top Bottom