Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitendo kilichofanyika 2019 na 2020 kilinifanya Mimi niione CHADEMA kama chama chenye viongozi matapeli wa kisiasa. Ni kikundi cha upigaji tu chenye kuangalia maslahi ya viongozi kwanza kisha...
0 Reactions
3 Replies
764 Views
Ndugu zangu ikumbukwe kuwa taarifa ya CAG iliibua madudu makubwa serikalini hadi kupelekea mbunge wa kisesa luhaga mpina kufikia kuwataja hadharani mawaziri wanaohusika katika wizara zao pamoja na...
14 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai. Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan. Bonyeza link chini kusikiliza SAUTI ZA WAMAASAI...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza...
11 Reactions
59 Replies
7K Views
Ujio wa Othman Masoud kwenye Uongozi wa ACT Wazalendo na kuimarika kwa Chadema upande wa Tanganyika kutabadili kabisa mwelekeo wa Siasa nchini. Japokuwa Masoud hatakuwa KC lakini kutokuwepo Zitto...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Sikiliza hadi mwisho. Mwananchi ana akili kubwa kuliko wasomi wetu wengi waliopo madarakani Tanzania inaamka.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Juzi tumetangaziwa na Waziri kwamba Megawatt 235 tayari zimeingizwa kwa grid ya Taifa, sasa mbona umeme ndiyo unazidi kukatika? Naomba ufafanizi wa kina na wa kiufundi tatizo lipo wapi? yaani...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Rais Hussein Mwinyi amewashukuru Watanzania wote kwa namna walivyoshiriki kumuuguza na hatimaye kumzika baba yao. Shukrani za kipekee amezipeleka kwa Rais Samia na amemuahidi kuisimamia vema...
24 Reactions
128 Replies
14K Views
Zitto Kabwe amedai wamepenyeza watu ndani ya CCM sijui lengo la hao watu ni nini ila ninachofahamu mimi chama chake kimekuwa CCM B kwa muda sasa. ACT Wazalendo iliundwa baada ya Zito na Kitila...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafakuri Jadidi: Mzee Mwinyi Anaondoka Na Hatuna Kinyongo Nae.. "Kila zama na kitabu chake"- Ali Hassan Mwinyi. Na leo Watanzania zimetufikia habari za kuhitimishwa kwa Sura ya Mwisho ya Kitabu...
37 Reactions
98 Replies
5K Views
Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Ufaransa Mheshimiwa Emmanueli Macron amemteua Gabriel Attal kuwa waziri mkuu wake, kijana mdogo kabisa katika Historia ya Ufaransa mwenye umri wa miaka 34...
9 Reactions
197 Replies
30K Views
Polisi Tanzania Wakanyaga katiba Kwakufanya siasa wazi wazi bila kificho ushaidi huu hapa. Salamu ya “kidumu Chama cha Mapinduzi” aliitoa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana...
4 Reactions
80 Replies
15K Views
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Naona kuna habari za EAC kuwa na sarafu moja. Kwa mipango ya EAC leo hii tayari tulitakiwa kuwa na sarafu moja. Lakini kiukweli ni ngumu sana kuwa na sarafu moja bila ya kuwa na shirikisho la...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za...
11 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu Freeman Mbowe, Kauli iliyotolewa na ndugu Zitto Kabwe, Kionogozi wa ACT-Wazalendo, inabainisha kasoro moja kubwa katika uendeshaji wa taasisi na vyama chama chako; mtanziko wa kutangaza...
2 Reactions
10 Replies
665 Views
Ndugu Martin Shighela mkuu wa mkoa wa Geita, habari za majukumu,? Imani yangu utausoma ujumbe huu au utaupata kupitia wasaidizi wako.na nategemea respond ya haraka sana toka kwako Mkuu. Lengo la...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…