Majaji waliotoa hukumu ya Mkataba wa DP World huko Mbeya hawajui mamlaka/kazi ya Mahakama

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Mimi katika uzee wangu na ingawa siyo mwanasheria nasema majaji wetu waliotoa hukumu ya mkataba wa DP World huko mbeya sina hakika kama wanao uelewa wa kutosha juu ya ukuu wa mamlaka ya muhimili wa mahakama juu ya mambo ambayo hayaendani na katiba katika kusimamia haki katika taifa letu.

Mahakama ndicho chombo pekee chenye uhalali (legitimacy) katika kutafsiri sheria yoyote katika taifa letu.

It has the right and duty to decide wether any law or act is valid under our constitution

The constitution is what the judges say it is wala siyo bunge au rais. Hayo ninayo yasema ni kwa mujibu wa jaji mkuu msitaafu, charles evans hughes wa uingereza wa miaka hiyo.

Mahakama ni dira na daraja maalumu kati ya serikali na bunge katika usimamizi wa haki ndani ya jamii/taifa

Kuhusu hii hukumu ya bandari iliyotolewa mbeya miye nitoe angalizo tu kwa kutumia nukuu ya bwana dooley wa uingereza aliyewahi kutilia shaka heshima ya uadilifu wa muhimili wa mahakama na akasema kwamba

It is this habit we have in mind when we say, every man ought to have a right to his day in court, the day when the legal political system is focused on him and his problems as an individual.

Je , kupitia matamshi mepesimepesi tu kama ya hawa majaji kuandika na kutamka hadharani kuwa wao yaani muhimili wa mahakama eti hawawezi kuingilia muhimili wa bunge!

Je kwa tamko hilo hatuoni kuwa hawa majaji kufumbia macho baadhi ya misingi imara ya haki sasa tunalea utamaduni wa hovyo kwa kumomonyoa misingi muhimu ya uadilifu , uzalendo na utaifa na weledi, professionalism ndani ya muhimili wa mahakama zetu !

Nijuavyo duniani kote ni muhimili wa mahakama pekee ndio wenye uhalali wenye hatimiliki ya kuikataa na kufuta sheria yoyote yenye mapungufu dhahiri.

Narudia hawa majaji kwa kuandika na kusema hadharani kuwa hawana uwezo wa kingilia muhimili wa bunge kuhusu sheria kadhaa zenye ukakasi ndani ya jamii hakika sasa tanzania kitaifa tumekwisha.

Ni aibu iliyoje kwa hawa vijana wetu tunao waamini kwa kuwaita waheshimiwa kuandika na kutamka maneno hayo na mengineyo katika hukumu yao !!!

Hakuna anayepinga uwekezaji bali muhimu

Uwekezaji husika uwe wenye uhalali kisheria.

Au hao majaji ni wagonjwa wa dudu baya liitwalo

Intellectual dishonesty !!!

Kama ni hivyo na hata kwa wao kukiri kuwa mkataba huo una mapungufu kadhaa ni kwa masilahi ya nani katika taifa letu kutuambia kuwa basi hayo mapungufu yanavumilika.

Hivi wamesahau zile busara kwamba

Katika vazi la mke wa mfalme tone moja tu la shahawa sawiya adhabu ya kifo ni halali kwake huyo mama?

Tumia tafakuri jadidi tafadhali .

Nawasilisha

#UPDATE
MOJA ya majaji waliotoa hukumu hiyo ya Mbeya amepewa zawadi na kupandishwa mpaka Mahakama ya Rufani.
 
Copied
Mkuu 'Jaji', ingawa sijakusoma humo ndani, lakini imenifanya nijibu tu nichokielewa kuhusu kichwa cha mada yako.

Ni hivi mkuu wangu:
Nchi yetu imeharibika kiasi kwamba taasisi zote, na wengi wa wananchi wetu tumefika mahali tunapoamini kuwa kila anachotaka mtu mmoja, ambaye ni Rais, ndicho hicho hicho kilicho sawa kwetu sote.

Kwa hiyo, Mahakama na watumishi wake wote wamejisalimisha kwa mtu huyo Rais. Anachotaka Rais kifanyike, mahakama, na majaji wote inawapasa watumie kila aina ya mbinu kuhakikisha hicho ndicho kitakachokuwa.

Hali ni hiyo hiyo hata huko kwenye Bunge letu. Kwani wewe hukuona jinsi ule Mkataba wa IGA ulivyoshughulikiwa huko Bungeni?
Spika ndiye kawa 'promota' wa mkataba.

Jaji Mkuu, kaongezewa muda, hata baada ya kustaafu; yote haya siyo mambo ya kawaida katika nchi ya watu wanaotambua HAKI zao na wanayoyategemea kutoka kwa Taasisi zinazowafanyia kazi.

Tanzania sasa hivi tupo kwenye hali mbovu kabisa kiutawala.
 
Huenda walipelekewa mtutu siku moja kabla ya kutangaza uamuzi kisha kesho yake wakaahirisha hadi tarehe nyingine iliyokuja jkutajwa. The politicians are the most killing animals under the sun as compared to the king of the jungle (The lion)
 
Majaji walikiuwa akina:
Mzavas
Manetto
Kisanga
Augustino Ramadhani nk
Hawa wa sasa hawana tofauti kabisa na mahakimu wa mahakama za mwanzo!
 
Mkuu 'Jaji', ingawa sijakusoma humo ndani, lakini imenifanya nijibu tu nichokielewa kuhusu kichwa cha mada yako.

Ni hivi mkuu wangu:
Nchi yetu imeharibika kiasi kwamba taasisi zote, na wengi wa wananchi wetu tumefika mahali tunapoamini kuwa kila anachotaka mtu mmoja, ambaye ni Rais, ndicho hicho hicho kilicho sawa kwetu sote.

Kwa hiyo, Mahakama na watumishi wake wote wamejisalimisha kwa mtu huyo Rais. Anachotaka Rais kifanyike, mahakama, na majaji wote inawapasa watumie kila aina ya mbinu kuhakikisha hicho ndicho kitakachokuwa.

Hali ni hiyo hiyo hata huko kwenye Bunge letu. Kwani wewe hukuona jinsi ule Mkataba wa IGA ulivyoshughulikiwa huko Bungeni?
Spika ndiye kawa 'promota' wa mkataba.

Jaji Mkuu, kaongezewa muda, hata baada ya kustaafu; yote haya siyo mambo ya kawaida katika nchi ya watu wanaotambua HAKI zao na wanayoyategemea kutoka kwa Taasisi zinazowafanyia kazi.

Tanzania sasa hivi tupo kwenye hali mbovu kabisa kiutawala.
Mimi ni nani nikupinge?
Umeandika, ume summarise!
Ningekuwa kansela wa Chuo kikuu ningependekeza upewe pHD ya Heshima!
Asante.
 
Majaji walikiuwa akina:
Mzavas
Manetto
Kisanga
Augustino Ramadhani nk
Hawa wa sasa hawana tofauti kabisa na mahakimu wa mahakama za mwanzo!
Kwa jumla unataka kusema "wale waliokuwa na hofu ya Mungu tofauti na wenye hofu ya Binadamu?
Yaani wewe!
 
Majaji ambao billford zao ukiondoa vitambulisho vyakazi basi Kadi ya ccm haikosekani
Sidhani, majaji na wanasheria ni watu wanaongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni, na kama ikitokea alikuwa mwanachama basi baada ya kuteuliwa anapaswa kurudisha kazi mpaka atapoachia madaraka yake, yaanu kustaafu.
Nina amini sana hii kada.
 
Mimi katika uzee wangu na ingawa siyo mwanasheria nasema majaji wetu waliotoa hukumu ya mkataba wa DP World huko mbeya sina hakika kama wanao uelewa wa kutosha juu ya ukuu wa mamlaka ya muhimili wa mahakama juu ya mambo ambayo hayaendani na katiba katika kusimamia haki katika taifa letu.

Mahakama ndicho chombo pekee chenye uhalali (legitimacy) katika kutafsiri sheria yoyote katika taifa letu.

It has the right and duty to decide wether any law or act is valid under our constitution

The constitution is what the judges say it is wala siyo bunge au rais. Hayo ninayo yasema ni kwa mujibu wa jaji mkuu msitaafu, charles evans hughes wa uingereza wa miaka hiyo.

Mahakama ni dira na daraja maalumu kati ya serikali na bunge katika usimamizi wa haki ndani ya jamii/taifa

Kuhusu hii hukumu ya bandari iliyotolewa mbeya miye nitoe angalizo tu kwa kutumia nukuu ya bwana dooley wa uingereza aliyewahi kutilia shaka heshima ya uadilifu wa muhimili wa mahakama na akasema kwamba

It is this habit we have in mind when we say, every man ought to have a right to his day in court, the day when the legal political system is focused on him and his problems as an individual.

Je , kupitia matamshi mepesimepesi tu kama ya hawa majaji kuandika na kutamka hadharani kuwa wao yaani muhimili wa mahakama eti hawawezi kuingilia muhimili wa bunge!

Je kwa tamko hilo hatuoni kuwa hawa majaji kufumbia macho baadhi ya misingi imara ya haki sasa tunalea utamaduni wa hovyo kwa kumomonyoa misingi muhimu ya uadilifu , uzalendo na utaifa na weledi, professionalism ndani ya muhimili wa mahakama zetu !

Nijuavyo duniani kote ni muhimili wa mahakama pekee ndio wenye uhalali wenye hatimiliki ya kuikataa na kufuta sheria yoyote yenye mapungufu dhahiri.

Narudia hawa majaji kwa kuandika na kusema hadharani kuwa hawana uwezo wa kingilia muhimili wa bunge kuhusu sheria kadhaa zenye ukakasi ndani ya jamii hakika sasa tanzania kitaifa tumekwisha.

Ni aibu iliyoje kwa hawa vijana wetu tunao waamini kwa kuwaita waheshimiwa kuandika na kutamka maneno hayo na mengineyo katika hukumu yao !!!

Hakuna anayepinga uwekezaji bali muhimu

Uwekezaji husika uwe wenye uhalali kisheria.

Au hao majaji ni wagonjwa wa dudu baya liitwalo

Intellectual dishonesty !!!

Kama ni hivyo na hata kwa wao kukiri kuwa mkataba huo una mapungufu kadhaa ni kwa masilahi ya nani katika taifa letu kutuambia kuwa basi hayo mapungufu yanavumilika.

Hivi wamesahau zile busara kwamba

Katika vazi la mke wa mfalme tone moja tu la shahawa sawiya adhabu ya kifo ni halali kwake huyo mama?

Tumia tafakuri jadidi tafadhali .

Nawasilisha

Copied

Mkuu usilete siasa na mahakama haviendan.ww umechotwa na siasa za chuki bila kujijua
 
Naomba ujibu hoja usimsha,bulie mtoa hoja .
Diploma yako ya Cookery huitendei haki, jibu hoja wacha mashambulizi binafsi.
Usiwe kama yule mkuu wa Mkoa aliyekuwa anampa maelekezo Rais, anamueleza rais namna ya kufanya kazi na kipi kitendeke.
Usiwe kama yule mkuu wa Mkoa aliyeapa kupambana na wanaosema malkia:
 
Mkuu usilete siasa na mahakama haviendan.ww umechotwa na siasa za chuki bila kujijua
Kuna wakati watu kama wewe hamkuruhusiwa kujiunga na JF na kuanza kuchangia bila muda wa majaribio kuona kama unazo sifa na ukomavu unaotakiwa humu.

Bahati mbaya Tanzania ya leo nayo imeingia kwenye mkumbo huo huo wa watu kupewa vyeo na madaraka si kwa sifa na uwezo bali kama fadhila ya mtawala/mteuzi.

Fikiria kiongozi mkuu wa nchi anaitangazia dunia kwamba miongoni mwa wananchi wake wote anaowatawala hakuna mwenye uadilifu wa kuendesha taasisi kubwa za taifa.

Akishatangaza hivyo anaingia kwenye mkataba na mataifa mengine na kuwakabidhi taasisi kubwa za kitaifa eti waziendeshe taasisi hizo kwa niaba ya wananchi hao hao!

JF ya leo imekuwa kama kokoro kwani imewazoa hadi watu kama wewe ambao ni wazi hata uwezo wa kuandika sentensi ya kueleweka ni shida...masikini JF, home of great thinkers!

Kwa nini tulidai UHURU?
 
Mimi katika uzee wangu na ingawa siyo mwanasheria nasema majaji wetu waliotoa hukumu ya mkataba wa DP World huko mbeya sina hakika kama wanao uelewa wa kutosha juu ya ukuu wa mamlaka ya muhimili wa mahakama juu ya mambo ambayo hayaendani na katiba katika kusimamia haki katika taifa letu.

Mahakama ndicho chombo pekee chenye uhalali (legitimacy) katika kutafsiri sheria yoyote katika taifa letu.

It has the right and duty to decide wether any law or act is valid under our constitution

The constitution is what the judges say it is wala siyo bunge au rais. Hayo ninayo yasema ni kwa mujibu wa jaji mkuu msitaafu, charles evans hughes wa uingereza wa miaka hiyo.

Mahakama ni dira na daraja maalumu kati ya serikali na bunge katika usimamizi wa haki ndani ya jamii/taifa

Kuhusu hii hukumu ya bandari iliyotolewa mbeya miye nitoe angalizo tu kwa kutumia nukuu ya bwana dooley wa uingereza aliyewahi kutilia shaka heshima ya uadilifu wa muhimili wa mahakama na akasema kwamba

It is this habit we have in mind when we say, every man ought to have a right to his day in court, the day when the legal political system is focused on him and his problems as an individual.

Je , kupitia matamshi mepesimepesi tu kama ya hawa majaji kuandika na kutamka hadharani kuwa wao yaani muhimili wa mahakama eti hawawezi kuingilia muhimili wa bunge!

Je kwa tamko hilo hatuoni kuwa hawa majaji kufumbia macho baadhi ya misingi imara ya haki sasa tunalea utamaduni wa hovyo kwa kumomonyoa misingi muhimu ya uadilifu , uzalendo na utaifa na weledi, professionalism ndani ya muhimili wa mahakama zetu !

Nijuavyo duniani kote ni muhimili wa mahakama pekee ndio wenye uhalali wenye hatimiliki ya kuikataa na kufuta sheria yoyote yenye mapungufu dhahiri.

Narudia hawa majaji kwa kuandika na kusema hadharani kuwa hawana uwezo wa kingilia muhimili wa bunge kuhusu sheria kadhaa zenye ukakasi ndani ya jamii hakika sasa tanzania kitaifa tumekwisha.

Ni aibu iliyoje kwa hawa vijana wetu tunao waamini kwa kuwaita waheshimiwa kuandika na kutamka maneno hayo na mengineyo katika hukumu yao !!!

Hakuna anayepinga uwekezaji bali muhimu

Uwekezaji husika uwe wenye uhalali kisheria.

Au hao majaji ni wagonjwa wa dudu baya liitwalo

Intellectual dishonesty !!!

Kama ni hivyo na hata kwa wao kukiri kuwa mkataba huo una mapungufu kadhaa ni kwa masilahi ya nani katika taifa letu kutuambia kuwa basi hayo mapungufu yanavumilika.

Hivi wamesahau zile busara kwamba

Katika vazi la mke wa mfalme tone moja tu la shahawa sawiya adhabu ya kifo ni halali kwake huyo mama?

Tumia tafakuri jadidi tafadhali .

Nawasilisha

Copied
Rostam Aziz asipodhibitiwa ataichezea sana nchi hii,tunaowaamini kusimamia haki na kutoa tafsiri ni wanyonge sana mbele ya rushwa
Pengine katiba mpya itapunguza huu udhalimu
 
Back
Top Bottom