Ombi: Rais Samia harakisha mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,133
20,296
Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyosua sua huku muda bado upo nashangaa sana..

Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam anayetii Mafundisho ya Mtume Muhamad Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Je, kusua sua kwa jambo hili ndio kusema Rais Samia Hataki ashinde Uchaguzi ujao kwa Haki?
 
Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyo sua sua huku muda bado upo nashangaa sana..

Dr Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam anayetii Mafundisho ya Mtume Muhamad Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Je kusua sua kwa jambo hili ndio kusema Rais Samia Hataki ashinde Uchaguzi ujao kwa Haki?
2025 hatutaki sisi Chadema tuambiwe tumeiba kura au Uchaguzi haukuwa Huru na wa haki.
 
Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyosua sua huku muda bado upo nashangaa sana..

Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam anayetii Mafundisho ya Mtume Muhamad Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Je kusua sua kwa jambo hili ndio kusema Rais Samia Hataki ashinde Uchaguzi ujao kwa Haki?
"Kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi nchi" Humphrey Polepole
 
Kila nikitazama jinsi Mchakato wa Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi inavyosua sua huku muda bado upo nashangaa sana..

Dkt. Samia Suluhu Hassani ni mpenda haki na juu ya yote ni Mwislam anayetii Mafundisho ya Mtume Muhamad Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Je kusua sua kwa jambo hili ndio kusema Rais Samia Hataki ashinde Uchaguzi ujao kwa Haki?
Utakuwa unakosea sana ukimhususha Samia na dini.Nchi zisizo na dini hizi kama China na Japan kuna haki kubwa kwa raia kuliko nchi zenye hizi dini
 
Hana uislamu wowote, hakuna muislam anayekaa madarakani kwa wizi wa kura. Mkuu muhimize kuwa kwa madaraka yake ni vyema akawezesha katiba mpya kupatikana kwa sasa, lakini sio kumpamba kuwa ni muislamu.
 
Utakuwa unakosea sana ukimhususha Samia na dini.Nchi zisizo na dini hizi kama China na Japan kuna haki kubwa kwa raia kuliko nchi zenye hizi dini
Tuna heshimu dini kwa kuwa kwa Tanzania tunaamini Mungu yupo. Achana na wachina
 
Waziri Mkuu Mstaafu (Mmoja) amenukuliwa akisema, "hakuna haja ya kuanza upya mchakato wa katiba mpya au kutoa elimu ya katiba Kama Serikali ilivyo sema kupitia kwa Waziri wa Sheria na katiba.Badala yake Serikali ifanye marekebisho machache, kwenye maeneo machache yanayolalamikiwa na watanzania,ili kuwezesha kufanyika kwa uchaguzi huru na wa haki",ili maisha yaendelee badala ya kuingia gharama kubwa kutoa elimu nk. Wapambe waache kumpotosha Rais, kwa masilahi yao binafsi ya kutaka madaraka Serikalini au kupata fursa ya kufanya biashara na wawekezaji - kwa masilahi binafsi
 
Hakuna haja ya Elimu Wananchi walisha elimika Tangu kipindi cha Warioba.
 
Back
Top Bottom