Kwanini Spika Tulia Ackson hataki kugombea jimbo la nyumbani kwao Rungwe Magharibi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,305
50,110
Nijuavyo Mimi ,Jimbo la Rungwe Magharibi ambako ni nyumbani Kwa Spika Dr Tulia ndio lilimfaa sana maana kule kwanza hakunaga upinzani Wala watu hawana shobo na upinzani.

Mbunge wa Sasa anaitwa Antony Mwantona huwa haongei Bungeni Wala hana jipya.

Sasa Kwa Nguvu anayoitumia Mbeya mjini angekuwa Rungwe kwao angetumia nusu tuu na bila pressure na wazee wangemshukuru Sasa yeye sijui hesabu zake zimekaaje.

Hapo Mbeya mjini Kuna wajuaji na wakaidi ambao hawamchagui mtu Kwa sababu ya kuleta maendeleo Bali wanachofanya wao ni kuikomoa ccm.

Maana wangekuwa wanajali maendeleo,uliyofanya hapo mjini na Mkoa Kwa ujimla ni mengi makubwa na mazuri.Sasa angalia mtu kama Sugu amekuwa mbunge miaka 10 hapo Mbeya hana hata Kimoja Cha kuonesha.

Ushauri wangu Bora uende Rungwe Magharibi ukamuweke sawa Antony Mwantona na wale wazee kule uchukue Jimbo kiulaini.

Majimbo ya Vijijini watu wanaaangalia umewasaidia nini na wanalipa fadhila ila Majimbo ya Mjini hawana shukrani hao.

View: https://youtu.be/aiz9FI2B1Ug?si=P6FjBS3uunsc8xJu
 
Mbona unamsanua? Muache ahangaike na hapa Mbeya tutampiga chini mchana kweupee hatoamini!!
 
Ni strategy ya chama. Haupeleki mizinga kwenye vita ya mikuki na mishaale.

Tulia na cheo chake cha Spika anaipa CCM kura nyingi za urais na madiwani pale Mbeya jiji. Kumpeleka Rungwe ni matumizi mabaya ya rasilimali.
 
Nijuavyo Mimi ,Jimbo la Rungwe Magharibi ambako ni nyumbani Kwa Spika Dr Tulia ndio lilimfaa sana maana kule kwanza hakunaga upinzani Wala watu hawana shobo na upinzani.

Mbunge wa Sasa anaitwa Antony Mwantona huwa haongei Bungeni Wala hana jipya.

Sasa Kwa Nguvu anayoitumia Mbeya mjini angekuwa Rungwe kwao angetumia nusu tuu na bila pressure na wazee wangemshukuru Sasa yeye sijui hesabu zake zimekaaje.

Hapo Mbeya mjini Kuna wajuaji na wakaidi ambao hawamchagui mtu Kwa sababu ya kuleta maendeleo Bali wanachofanya wao ni kuikomoa ccm.

Maana wangekuwa wanajali maendeleo,uliyofanya hapo mjini na Mkoa Kwa ujimla ni mengi makubwa na mazuri.Sasa angalia mtu kama Sugu amekuwa mbunge miaka 10 hapo Mbeya hana hata Kimoja Cha kuonesha.

Ushauri wangu Bora uende Rungwe Magharibi ukamuweke sawa Antony Mwantona na wale wazee kule uchukue Jimbo kiulaini.

Majimbo ya Vijijini watu wanaaangalia umewasaidia nini na wanalipa fadhila ila Majimbo ya Mjini hawana shukrani hao.

View: https://youtu.be/aiz9FI2B1Ug?si=P6FjBS3uunsc8xJu

Muulize swali Hussein Mwinyi aliyekuwa Mbunge wa Mkuranga, sasa kagombea na kupata urais Zanzibar!
 
Umeandika kama mtu anayemshauri Rafiki yake jinsi ya kugawana maandazi!!
 
Back
Top Bottom