Ukosefu wa mafuta nchini - Serikali ilaumiwe?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,259
SALAAM!
Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi.

Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe?

Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya usafirishaji;

Wasilisho!
Ngaika Ndenda
 
Tusipoilaumu sirikali ktk hili tumlaumu nani?

Au tukulaumu wewe ndugu Kabende Msakila kada wa CCCM?
 
SALAAM!
Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi.

Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe?

Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya usafirishaji;

Wasilisho!
Ngaika Ndenda
Walaumiwe"MACHADEMA"
 
Wanaohujumu mafuta ni Serikali wenyewe,CCM ni mafisadi👇
 
Wa kulaumiwa ni January Makamba. Hata umeme umekosekana. Sasa kaondolewa. Muda si mrefu Dr Biteko ataweka haya mambo sawa, ndiyo maana kaongezewa na rungu la Unaibu Waziri Mkuu.
 
Waziri Mkuu aliyepo alikuwa anashirikiana na January Makamba kwenye hizo hitilafu Hadi awekewe Naibu?
 
SALAAM!
Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi.

Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe?

Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya usafirishaji;

Wasilisho!
Ngaika Ndenda
Alaumiwe Mwambukusi,Dr Slaa na Mdude na ikiwezekana waporwe uraia kabisa
 
Back
Top Bottom