Hivi nchi yetu itakuwa na raha kiasi gani pale mama Samia S. Hassan akigombea na kuwa rais wa nchi yetu kupitia ccm , kwa mwaka 2020? Nadhani ccm itabadilika na tanzania itaweka historia nzuri...
Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la...
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta...
Katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA Dkt. Slaa amesema hana Mpango wa kurejea CHADEMA na Kwamba ataendelea kufanya siasa kama Mtu Huru
Dkt. Slaa amesema hajaacha Mayai Chadema
Ramadan Kareem 😄...
Mazungumzo ya Wanasiasa wakongwe na Chipukizi yanafanyika UDSM, leo Jumatatu Machi 11, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=0bf-4hr44BI
Majadiliano Rika (Intergenerational Dialogues) ndani ya...
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na...
Toka kampeni ya kumchangia Rais Samia pesa za kuchukua fomu makundi mbalimbali yameendelea kujitokeza kumchangia. Hivi toka walipoanza wakuu wa shule mpaka sasa PM naye kaenda kuchangisha wanawake...
Habari wadau.
Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je...
Joseph Mbilinyi aka Sugu alikuwa EFM
Leo Lema ilikuwa awe Clouds TV lakini akapatwa na dharura
Kesho John Heche atakuwa yuko Power Breakfast Clouds FM
Je, ni Matunda ya Maridhiano au ni Swaga...
Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais.
Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda...
Mara kadhaa nimeandika kuilalamikia hii Taasisi. Hii Taasisi kwa sehemu kubwa imeonesha kutoweza fanya kazi yake ya msingi ambayo kulinda maslahi ya Tanzania.
Muundo wa TISS hauna malengo mapana...
Magheto na uharibifu wa mji wa Dar ulianzishwa na Rais wa awamu ya pili Ali Mwinyi.
Rais Mwinyi ndiye aliyeruhusu fukwe zetu kuvamiwa kwa kuruhusu hoteli kujengwa beach kinyume na sheria zetu za...
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na...
Kulipa kodi ni kigezo muhimu cha kupima uzalendo wa mtu kwa nchi yake kuhakikisha inapata mapato ya kujiendesha
Asiyelipa kodi ya mapato sio mzalendo hatakiwi kugombea ubunge wala cheo chochote...
Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani...
Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue...
Huyu hapa ni miongoni mwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Tanzania , sasa hata kama wewe ni kipofu wa Ubongo unadhani huyu anaweza kutenda haki yoyote ?
Ndio maana Chadema na Wapenda haki wengine...
Hii mikutano kama ya Kituo cha demokrasia Tanzania(TCD), ya vyama vya siasa, sijui ya kamati za amani na maridhiano ni upotezaji muda tu, ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha na muda na pia ni...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Albert Chalamila amesema ameshangazwa na watu ambao wameamua Kupeleka kesi Mahakamani kupinga Kuvunjiwa nyumba zao na TanRoads ambao wanataka kujenga Barabara ya...