Ni ukweli Sugu na Lema mwaka 2020 kura hazikutosha lakini ni hakika Sugu na Lema wanakubalika na watu kuliko wanavyokataliwa na kura!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania

Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji

Ila huko Duniani kila Mtu kura yake ameithamanisha ndio sababu mshindi hujulikana kwa kura za maoni ya Vyombo vya habari na Utafiti kabla ya Uchaguzi rasmi

Imani ya Mtu kwa Mtu ndio muhimu kuliko Tangazo la Mshindi linalotolewa na third party yaani DED ( Msimamizi wa Uchaguzi)

Tukubaliane tu Lema na Sugu Wana KIBALI cha kukubalika mbele ya Jamii yaani hawatumii nguvu kutafuta kukubalika

Hiki KIBALI cha namna hii alikuwa nacho Maalim Seif RIP

Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda😀
 
Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda
Hapo kweye DED mtangaza matokeo ungemalizia tu kwama ni kada wa CCM,

Pia ameteuliwa na Rais ambaye ni Chairman wa CCM

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Kulingana na kauli ya Cleopa D. Msuya, CHADEMA ina watu wengi wenye kupangilia hoja na wapo vizuri vichwani tofauti ma vyama vingine.

Hiyo kauli ni uthibitisho kuwa CHADEMA ni chuo cha kuwapika vijana kifikra,kihoja,kisisasa na kiuwakilishi kama ilivyokuwa UDSM ya miaka ya 1970s mpaka 1990s.

Hivyo sio hao tu,bali asilimia kubwa ya wanaosimamishwa na CDM kwenye chaguzi huwa wanakubalika kwa hoja na uwezo wao mkubwa wa kudadavua changamoto katika jamii na jinsi sitakavyotatuliwa.

MUNGU BABA WA MBINGUNI ibariki CHADEMA na wabariki wale wote wenye nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi dhidi ya mkoloni mweusi CCM.
 
Hapa Arusha lema alikua ameshapoteza ushawishi kwa 2020 ilishaonekana mapema hatoboi kwa upande wa Mbeya Sugu alidhulumiwa alikua bado anakubalika sana.
 
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania

Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji

Ila huko Duniani kila Mtu kura yake ameithamanisha ndio sababu mshindi hujulikana kwa kura za maoni ya Vyombo vya habari na Utafiti kabla ya Uchaguzi rasmi

Imani ya Mtu kwa Mtu ndio muhimu kuliko Tangazo la Mshindi linalotolewa na third party yaani DED ( Msimamizi wa Uchaguzi)

Tukubaliane tu Lema na Sugu Wana KIBALI cha kukubalika mbele ya Jamii yaani hawatumii nguvu kutafuta kukubalika

Hiki KIBALI cha namna hii alikuwa nacho Maalim Seif RIP

Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda😀
Kwahiyo Maguuli hakuiba kura?
 
Eti Lema na Sugu wana watu wengi lakini hawana kura....

Labda kwasababu hizo kura zenu huwa hazitoki kwa watu bwashee...huwa zinatoka kwa majini ndio yanawapa CCM ushindi!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania

Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji

Ila huko Duniani kila Mtu kura yake ameithamanisha ndio sababu mshindi hujulikana kwa kura za maoni ya Vyombo vya habari na Utafiti kabla ya Uchaguzi rasmi

Imani ya Mtu kwa Mtu ndio muhimu kuliko Tangazo la Mshindi linalotolewa na third party yaani DED ( Msimamizi wa Uchaguzi)

Tukubaliane tu Lema na Sugu Wana KIBALI cha kukubalika mbele ya Jamii yaani hawatumii nguvu kutafuta kukubalika

Hiki KIBALI cha namna hii alikuwa nacho Maalim Seif RIP

Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda😀
ni kweli wanakubalika sana mbele ya jamii katika mitandao ya kijamii pekee , but ground na field ni zero hawajulikani wala kufahamika 🐒
 
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania

Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji

Ila huko Duniani kila Mtu kura yake ameithamanisha ndio sababu mshindi hujulikana kwa kura za maoni ya Vyombo vya habari na Utafiti kabla ya Uchaguzi rasmi

Imani ya Mtu kwa Mtu ndio muhimu kuliko Tangazo la Mshindi linalotolewa na third party yaani DED ( Msimamizi wa Uchaguzi)

Tukubaliane tu Lema na Sugu Wana KIBALI cha kukubalika mbele ya Jamii yaani hawatumii nguvu kutafuta kukubalika

Hiki KIBALI cha namna hii alikuwa nacho Maalim Seif RIP

Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda😀

GHXTLVSWgAAGcaP.jpeg
 
Kulingana na kauli ya Cleopa D. Msuya, CHADEMA ina watu wengi wenye kupangilia hoja na wapo vizuri vichwani tofauti ma vyama vingine.

Hiyo kauli ni uthibitisho kuwa CHADEMA ni chuo cha kuwapika vijana kifikra,kihoja,kisisasa na kiuwakilishi kama ilivyokuwa UDSM ya miaka ya 1970s mpaka 1990s.

Hivyo sio hao tu,bali asilimia kubwa ya wanaosimamishwa na CDM kwenye chaguzi huwa wanakubalika kwa hoja na uwezo wao mkubwa wa kudadavua changamoto katika jamii na jinsi sitakavyotatuliwa.

MUNGU BABA WA MBINGUNI ibariki CHADEMA na wabariki wale wote wenye nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi dhidi ya mkoloni mweusi CCM.
Nikitoka Mpanda lita 5 za asali nidai Mkuu....
 
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania

Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji

Ila huko Duniani kila Mtu kura yake ameithamanisha ndio sababu mshindi hujulikana kwa kura za maoni ya Vyombo vya habari na Utafiti kabla ya Uchaguzi rasmi

Imani ya Mtu kwa Mtu ndio muhimu kuliko Tangazo la Mshindi linalotolewa na third party yaani DED ( Msimamizi wa Uchaguzi)

Tukubaliane tu Lema na Sugu Wana KIBALI cha kukubalika mbele ya Jamii yaani hawatumii nguvu kutafuta kukubalika

Hiki KIBALI cha namna hii alikuwa nacho Maalim Seif RIP

Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda😀
Kama wanakubalika Kwa minajiri ya maigizo Yao ni sawa ila Kwa mizania ya utendaji kazi ni zero wote 2.

Pili Sina hakika kama 2025 watapita Kwa sababu tuu eti umeona Maandamano.Kumbuka Arusha City Ina watu zaidi ya 600k na Mbeya zaidi ya 500k so Bado sana kujihakikishia.

Mwisho kipya hakinyemi,kumbuka chama kizima kilikuwa hapo.
 
Mwisho kipya hakinyemi
watapita tu kwenye mtandao waX🐒

na si vinginevyo
 
Kwa Africa Kura ni kitu temporary ndio sababu hata kura zikiibwa Watu hawashughuliki kuzipigania

Hata Watu wakijitangaza Kupita Bila Kupingwa hakunaga anayejali na kuhoji

Ila huko Duniani kila Mtu kura yake ameithamanisha ndio sababu mshindi hujulikana kwa kura za maoni ya Vyombo vya habari na Utafiti kabla ya Uchaguzi rasmi

Imani ya Mtu kwa Mtu ndio muhimu kuliko Tangazo la Mshindi linalotolewa na third party yaani DED ( Msimamizi wa Uchaguzi)

Tukubaliane tu Lema na Sugu Wana KIBALI cha kukubalika mbele ya Jamii yaani hawatumii nguvu kutafuta kukubalika

Hiki KIBALI cha namna hii alikuwa nacho Maalim Seif RIP

Mungu wa Mbinguni awaangazie Nuru yake na Kuwalinda😀
Waligombea majimbi gani na walipata kura ngapi kila mmoja?
 
"Hata kura yangu na mke wangu hazikuwamo kwenye sanduku la kura?!"

Alisikika John Momose Cheyo akilalama baada ya kuambulia patupu kwenye kituo kimoja cha kura alichokuwa ameambatana na jamaa zake lukuki.
 
Kama wanakubalika Kwa minajiri ya maigizo Yao ni sawa ila Kwa mizania ya utendaji kazi ni zero wote 2.

Pili Sina hakika kama 2025 watapita Kwa sababu tuu eti umeona Maandamano.Kumbuka Arusha City Ina watu zaidi ya 600k na Mbeya zaidi ya 500k so Bado sana kujihakikishia.

Mwisho kipya hakinyemi,kumbuka chama kizima kilikuwa hapo.
@johnthebaptist huyu ni Senior kwenye chama..wewe ni chawa....hivyo kaa kimya
 
Back
Top Bottom