Tunawaomba CHADEMA walete maandamano wilayani ili sote tushriki; tumechoka na hali ngumu ya maisha!

Hivi haya maandamano kwanini yasiwe ya nchi nzima kwa siku moja?

Watu kama nyie wa wilayani, muungane na wenzenu wa wilaya nyingine, kwenda mkoani kuandamana..

Then hapo kwa kila mkoa, Chadema wapeleke kiongozi mmoja wa chama akaongoze maandamano..

Hili jambo kwangu naona linawezekana kabisa, na litakuwa na impact kubwa zaidi ya haya maandamano ya mkoa mmoja mmoja yanayofanyika sasa...

Hawa CCM wanatakiwa kuamshwa kwa njia ngumu zaidi ambayo hawakuitegemea, inatakiwa mambo yote nchi nzima yasimame kwa hiyo siku ya maandamano itakayochaguliwa.
 
Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira.

Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.
Uko sahihi kabisa,vipi huko walikoshiriki maandamano ugumu wa Maisha umepungua? 😁😁😁

Yaani Mimi nilime Kwa jasho langu wewe ule Kwa mseleleko? Swain
 
Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira.

Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.
CCM wameleta maisha magumu sn
 
Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira.

Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.
nawe kuwa mstari wa mbele kuanziha maandamano kupitia kwenye uongozi wa chadema wa Wilaya yako ukiomba ushauri toka Mkoani, Taifa.
 
Tumechoka kutumiwa kama mtaji wa wanasiasa kujinufaisha. Maisha yamekuwa magumu; hatuna maji, umeme ni kero, bima za afya ni mbovu, elimu imeshuka thamani, hakuna ajira.

Tafadhali CHADEMA mje vijijini nasi tupate kupaaza sauti zetu. Tupo tayari kuchangia gharama za maandamano ikibidi.
ama kweli chadema ni ya wachovu waliochoka tayari 🐒

sasa mtaweza kufanya nini na mmeshachoka tayari 🐒
 
Back
Top Bottom