Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa.
Ni muda...
Nimesikiliza kwa umakini juu ya maoni ya Mwanamziki wetu nguli Diamond Plutinum Kuwa Mama Samia Atambuliwe kama Mama wa Taifa la Tanzania.
Baadhi ya Sababu alizotoa ni hizi zifuatazo;
1. Ni...
Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini?
WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI
Na. WAF - Dar Es Salaam
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi...
Mkoa wa Njombe kwa sasa Kilimo kikubwa ni maparachichi kwa sababu kuna soko la uhakika. Je baada ya miaka 5 ijayo soko hili litakwepo huko nje?
Njombe na Mbeya ni muhimu kukawa na kiwanda kidogo...
Kauli ya Waziri Mbarawa kwamba treni yetu iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu sio ya mwendokasi imeibua taharuki na kelele nyingi sana kutoka kwa raia wengi wakiona kama wamechezewa mchezo wa...
Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na...
Tanzania tuna miaka 63 ya toka tupate uhuru lakini kimaendeleo na kisiasa na kidemokrasia tuko juu, kuliko Haiti iliyopata uhuru miaka 220 iliyopita.
Hongera CCM kwa kuipeleka nchi spidi kali...
Baada ya kumsikiliza mkuu wa majeshi mstaafu katika mahojiano yake na vyombo vya habari vya serikali, nimewaza jambo.
CDF Mabeyo anasema wakuu wa vyombo walijulishwa hali ya mkuu wa nchi, na...
Leo 19/03/2024 Rais Dr Samia Suluhu Hassan anatimiza Miaka 3 ya Uongozi wake kama Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu
Nchi za Africa Mashariki zimekuwa na tatizo kubwa la Demokrasia na Tanzania...
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
Wanabodi,
Hili ni bandiko mwendelezo wa bandiko hili Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs...
Mimi kama mwananchi Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini uboreshaji wa jengo la Abiria la Uwanja wa ndege Mwanza.
Cha kushangaza ahadi na maelezo matamu yamekuwa yakitolewa kila mara kuwa mkataba na...
Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Kahabi ametangaza kuwa hawezi kufanya kazi na DED wa wilaya hiyo.
Akiongea katika ziara ya mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, DC huyo amesema DED...
KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote
Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio...
Naona Madeleka anazidi kuchanja mbuga Mahakamani akipambana na Pauline Gekul. Ila nataka tu nikumbushe kwamba huyu wakati anafanya ule ukatili alikuwa Naibu waziri wa Katiba na sheria .
Ofisi ya...
Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25%...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Katika hili Chadema mlionyesha Uzalendo wa hali ya juu
Mmeingia kwenye Vitabu Vya kumbukumbu
Mlale Unono πππ₯
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote...
Ndugu watanzania wenzangu, leo ni siku tulipotangaziwa kuzimika kwa nuru ya ukombozi wa watanzania.
Tuunganane pamoja kuomba Mungu awaibue akina Hayati Magufuli wengi maelfu kwa mamilioni hasa...