Ujenzi wa Chuo cha VETA waendelea kwa kasi Kata ya Partimbo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake Kata ya Partimbo kutembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA kukagua maendeleo yake. Amewapongeza wasimamizi na mkandarasi wa mradi huo kwa kazi kubwa inayoendelea​

Mhe. Edward Lekaita amezungumza na Wananchi wa Kata ya Matui na kuchangia 150,000 kati ya 200,000 zilizokuwa zinahitajika kununua uwanja wa mpira Ifukuza na kusikiliza kero zao huku Wananchi hao wakimshukuru kwa miradi na kumuomba kutatua kero za Maji, Umeme na Barabara.

Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amesema kuwa kiasi cha Shilingi Milioni 580 zimetumika kujenga Shule mpya ya Msingi na kuwasisitiza wazazi kuhakikisha wanawapeleka watoto Shule pindi itakapokamilika.

Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Shilingi Milioni 118 linalojengwa ili kupunguza kero ya kushindwa kupita kuelekea Matui wakati wa kipindi cha mvua.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.35.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.35.jpeg
    1 MB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.35(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.35(1).jpeg
    900.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.36.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.36.jpeg
    825.5 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.36(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.36(1).jpeg
    708.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.36(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.36(2).jpeg
    1.1 MB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.37.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.37.jpeg
    957.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.37(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.37(1).jpeg
    902.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.38.jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.38.jpeg
    818 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.38(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-09-11 at 11.43.38(1).jpeg
    730.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom