Makambi ya Vijana wa CCM Wilaya ya Rorya Kata ya Kirogo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,077
1,002

YALIYOJIRI KIKAO CHA MBUNGE CHEGE NA VIJANA WA MAKAMBI WA CCM WILAYA YA RORYA KATA YA KIROGO

- Mbunge katoa Ng’ombe kwa ajili ya shughuli ya vijana.

- Mbunge kachangia laki 5 kwa ajili ya kuunda ushirika mpya kwa vijana hawa na mchango wa nauli.

- Mbunge kawahamasisha vijana kuunda KIKUNDI CHA USHIRIKA KUJIKITA NA KUFANYA KAZI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI. Kwa kuwa hizi ndo shughuli za kiuchumi zilizopo wilaya ya Rorya, badala ya kuvunja kambi na vijana hawa kurudi Nyumbani bila kuwa na malengo.

- Mhe Mbunge ameshiriki kusimamia zoezi la kupata viongozi wa KIKUNDI HIKI WATAKAO KUWA CHINI YA JUMUIYA YA VIJANA WILAYA.

- Mbunge kawataka vijana kupitia KIKUNDI CHA USHIRIKA KUANZA MAANDALIZI KILIMO ENEO LA MTO MARA.

- Mh Mbunge kawashauri kwa soko la sasa la mahindi kama zao chakula na pia zao kibiashara waanze na hili kwa sasa.

- Mbunge kawaasa vijana wakati wananza zoezi hili waache kuchanganya siasa na kazi ili kuleta Tija zaidi.

Ofisi ya Mbunge
Rorya - Mara.
 

Attachments

 • WhatsApp Video 2023-09-11 at 09.24.10.mp4
  32 MB
 • WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.52.jpeg
  WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.52.jpeg
  113.2 KB · Views: 1
 • WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.53(1).jpeg
  WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.53(1).jpeg
  120.4 KB · Views: 1
 • WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.54(1).jpeg
  WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.54(1).jpeg
  112.8 KB · Views: 1
 • WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.54.jpeg
  WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.23.54.jpeg
  90.3 KB · Views: 1
 • WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.24.10.jpeg
  WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.24.10.jpeg
  95.8 KB · Views: 1
 • WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.25.39.jpeg
  WhatsApp Image 2023-09-11 at 09.25.39.jpeg
  127.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom