Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,126
Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria itakayotumika ni ya Uingereza!
Swali Kukitokea dispute (kutokuelewana) katika utekelezaji wa mikataba ni nyaraka ipi itakayotumika katika kutatua mgogoro huko Afrika kusini ni IGA au HGA?
Prof. Kitila Mkumbo, Wassira, Sofia Mjema na Chongolo tunaomba ufafanuzi.