Ikulu iliyo ndani ya Ikulu ina mfalme aliye juu ya mfalme wetu

Sweya Makungu

JF-Expert Member
Jun 11, 2023
479
556
Andiko hili alione ndugu yetu bwana ndoto anayejiandaa kuingia ikulu kule Afrika.

IKULU ILIYO NDANI YA IKULU INA MFALME ALIYE JUU YA MFALME WETU
💫💫💫💫💫

©️Mwl Makungu m.s
0743781910

Kila baba ktk familia huwa ni mfalme wa serikali ya familia yake. Watoto wadogo wote huamini ya kuwa baba yao anaweza kufanya kila kitu. Hata akitoa ahadi ya kuwanunulia ndege ya abiria watoto hufurahi na huamini kuwa hilo litakwenda kutendeka. Baada ya akili kupevuka ndipo mtoto hugundua kuwa baba yao hana nguvu wala uwezo kuwazidi watu wote km alivyofikiria. Baba yao ni boss lkn kuna maboss wake au maboss zaidi yake na anawanyenyekea ..

Ktk level ya nchi, watoto ni wale wanaoamini kila ahadi ya mwanasiasa bila kufanya reasoning, wanaoamini ya kuwa serikali yao ina uwezo wa kuwafanyia kila kitu na kuwaletea kila kitu mezani bila wao kujihangaisha.

Yesu alikamatwa kwa amri ya wakuu wa makuhani. Lkn hawakuwa na mamlaka yyt ya kumuhukumu. Hivyo ilibidi wampeleke kwa pilato. Pilato alipogundua kuwa Yesu ni mtu wa Galilaya akampeleka kwa herode (mkuu wa galilaya). Na herode alipoona kuwa mambo anayoshitakiwa Yesu yametendekea yerusalemu akamrudisha kwa pilato (mkuu wa yerusalemu).
Hii inatupa picha ya kuwa kama wafalme wana nguvu sawa, basi kila mfalme ana mamlaka yake na mipaka yake ya kufanya kazi ktk eneo lake bila kuingiliwa na mwingine.

Mtume paulo aliposhitakiwa na wakuu wa makuhan kwa jemedari klaudio, kesi ikawa ngumu. Ikatolewa Jerusalem Ikapelekwa kwa liwali Feliki wa kaisaria. Naye pia ikamshinda akamwacha Paulo gerezani kwa miaka miwili Kisha akaikabidhi kesi kwa liwali porkio festo . Festo akahukumu kinyume cha haki ,Paulo akakata rufaa kesi iende kwa Kaisari . Kabla ya kwenda kwa kaisari akaja mfalme Agripa akaisikiliza lkn naye hakuweza kuamua kwa kuwa mshtakiwa amekata rufaa kesi iende kwa kaisari .. Na unajua kaisari anapatikana wapi? Kwenye taifa la Rumi Italia.. Kwahiyo kesi ilianzia Israel ambako kuna wakuu na mfalme pia lkn ilibidi ifungwe Safari mpk Italia kwenda kuamriwa na Kaisari ( mfalme wa wafalme wa nchi zote zilizokuwa zinatawaliwa na Rumi- Roman Empire) ..

Kumbe mfalme Agripa naye ana mfalme wake Kaisari..

Mfalme Ahabu wa Israeli na wafalme wengine wa mataifa thelathini walikuwa na mfalme wao ,mbabe wa vita ,mfalme Ben Hadadi wa Shamu..

Wafalme wa bara Hindi na Asia walikuwa na mfalme wao mbabe wa vita, mfalme Ahasuero wa Umedi na Uajemi . Kabla hajaingia mtu mbabe mnyama wa vita anaitwa mfalme Alexander the great .

Hizo zilikuwa ni zama za wafalme za ubabe wa kivita..
Je kwa zama za Sasa tunaposema ikulu iliyo ndani ya ikulu ina mfalme aliye juu ya mfalme wetu tunamaanisha nini?

Msingi wa andiko letu unatokana na kisa kimoja cha zamani Sana.

Miaka mingi iliyopita zaidi ya 1000 katika taifa la Korea Kipindi hicho likijulikana km joeson , paliwahi kutokea ufalme usiokuwa wa kawaida. Ufalme huu uliingia madarakani kwa kuupindua Ufalme uliokuwepo.
Ufalme ndani ya ukoo huu ukadumu kwa miaka 200 ya uchungu na mateso . Babu alimrithisha baba ufalme ,baba akamrithisha mtoto ufalme na mtoto akamrithisha mjukuu ufalme .

Wafalme wote hao wa ukoo mmoja (blood line) kwa miaka yote 200 walikuwa wanalipenda kupita kiasi taifa lao kwa uzalendo mkubwa Sana. Walionekana ni wafalme majasiri Sana mbele za watu. Lkn hakuna ambaye alijua maumivu na mateso waliyokuwa wanapitia kwa awamu zote hizo..

Ktk ufalme wao ;
  • Watu walikuwa wanapotea ktk mazingira ya kutatanisha kuelekea kusikojulikana.
  • Maiti za watoto wa kike zilikuwa zinaokotwa ikulu na hakuna mtu Aliyekuwa anaruhusiwa kuzigusa wakati wa kuzichoma moto isipokuwa mfalme tu.
  • Serikali ilipandisha Kodi maradufu kwa wananchi Hali ya maisha ikawa ngumu Sana.
  • Kulikuwa na ukame mkubwa kwa kukosa mvua ( ktk tawala za kifalme kukiwa na ukame maana yake mbingu zimemkataa mfalme).
  • Mfalme Alikuwa hana mamlaka ya kuteua kiongozi yoyote ktk serikali yake . Na hata huyo kiongozi akiwa mbaya kiasi gani kwa wananchi, mfalme hakuwa na mamlaka ya kumtoa . Japokuwa jambo hili lilikuwa ni Siri kubwa.
  • Baraza la ufalme ( bunge) wakati mwingine lililazimishwa kukutana usiku.
  • Mwanabaraza yoyote Aliyekuwa akihoji mambo yanavyoendeshwa na serikali alikuwa anapotea kusikojulikana .
  • Hata watoto wa mfalme ( maprince) waliokuwa wakitaka kuhoji walikuwa wanapotezwa mbele ya macho ya mfalme.
  • Mfalme alisimamia vyema rasilimali za taifa lkn hakuwa na mamlaka nazo .
  • Wapinzani na wakosoaji wa utawala wa mfalme walikimbilia kujificha uhamishoni na maporini km wanyama.
  • Watu wa tabaka la Kati na wafanyabiashara walikuwa wakiishi kwa hofu ya Mali zao.
  • Watu wa tabaka la chini na wamachinga walikuwa wakiishi kwa hofu ya uhai wao na manyanyaso ya askari .
  • Madangulo ya kufanyia ukahaba yaliongezeka Sana kinyume na maadili ya taifa.
  • Tabia zisizo za kawaida ktk jamii zilitakiwa kufanywa kwa lazima.

Mambo yote haya yalifanyika kwa amri ya mfalme na watu walimchukia Sana mfalme

Kilichokuwa hakijulikani nyuma ya pazia :

Kumbe yule mfalme wa kwanza babu yao aliyeupata ufalme kwa kufanya Mapinduzi , alisaidiwa kuupata ufalme kwny yale Mapinduzi na viumbe visivyokuwa vya kawaida ( vampires). Na alitakiwa kule ndani ya ikulu pachimbwe chini ya ardhi na patengenezwe the underworld palace ambapo atakuwa anaishi yule vampire . Na maamuzi na maelekezo yote ya kuongoza serikali na nchi yalikuwa yanatoka kule chini. Mfalme alikuwa ni Kama pambo tu . Na Siri hii ilikuwa ni kwa watu wachache Sana ukiitoa umekufa..
Kwahiyo ikulu iliyokuwa ndani ya ikulu ilikuwa na mfalme Aliyekuwa juu ya mfalme wao.

Ukitaka kupata kisa hiki cha tawala za kifalme za Korea cha miaka 1000 iliyopita , angalia filamu ndefu inaitwa THE NIGHT SCHOLAR ..

Katika dunia ya Sasa tuliyonayo , tawala /falme nyingi tulizonazo zinatawaliwa pia na falme nyingine zilizomo ndani ya ikulu.. Na falme hizi zinazotawala falme nyingine zipo tatu tu ;

Mungu , shetani na mzungu

Ukiona taifa lenu limeshamiri raha, amani , furaha, maadili , utajiri, demokrasia yenu mliyojipangia inafuatwa, huduma za jamii, watu wameshika misingi ya dini , watu Wana afya mpk hospitali zinapungukiwa wagonjwa , teknolojia kubwa, Basi elewa kuwa ikulu iliyo ndani ya ikulu ya hilo taifa ina mfalme aliye juu ya mfalme wao . Na mfalme huyu aliye juu ni Mungu. Mojawapo ya nchi ktk kundi hili ni Qatar na nyingine zinazofanana nayo bila kujali ni budha, Hindu au sichuest.

Ukiona taifa lina demokrasia waliyojipangia wao lkn wanataka dunia nzima ifuate demokrasia yao, hakuna uhakika wa amani , mauaji ya mara kwa Mara, Ni tajiri , Wana dini lkn hawaifuati inavyosema, hakuna maadili ya kitaifa, ushoga ni haki ya Binadamu , Kuna haki za wanawake kupita kiasi nje ya maelekezo ya dini zao , wanapenda vita isiyo ya haki , wanadhulumu utajiri wa mataifa mengine, wanaua watawala wa mataifa mengine, Wana teknolojia ya hali ya juu, Basi ujue kuwa ikulu iliyo ndani ya ikulu ya hilo taifa ina mfalme aliye juu ya mfalme wao. Na mfalme huyo ni shetani .. Moja ya nchi ktk kundi hili ni Marekani na washirika wake.

Ukiona taifa lina rasilimali nyingi za utajiri lkn limejaa umaskini wa kutupwa, kuna viongozi wabovu na wengine ni mafisadi na hawaguswi, Kuna amani iliyo ktk misingi ya uoga, au hakuna amani kabisa, Kuna vita vya wenyewe, demokrasia waliyojipangia hawaifuati, hawana misimamo Wala dira ya pamoja ya taifa, wanapenda misaada kuliko mikopo, na wakikopa fedha zina masharti magumu na zinaliwa, wakisamehewa mikopo wanashangilia, hawana imani na wataalamu wao , wanapenda mataifa ya nje kuliko mataifa yao, Kodi ni kubwa/nyingi kuliko kipato cha mwananchi, viongozi madikteta, watu wenye akili kubwa za kulivusha taifa wanapigwa vita , upinzani kwny vyama vya siasa ni Kama uadui wa kuuana, elimu imejaa nadharia kuliko maarifa na ujuzi, bunge linajisimamia lenyewe badala ya kuisimamia serikali, wananchi Wana mateso na serikali haijali , Basi ujue kuwa siyo mfalme wa nchi hiyo ndiye anayetaka mambo yaende hivyo , bali ikulu iliyo ndani ya ikulu ya nchi hiyo ina mfalme aliye juu ya mfalme wao. Na mfalme huyu ni mzungu. Moja ya nchi ktk kundi hili ni Congo DRC, Nigeria, Sudan, Libya, na nyingine zinazofanana.

Wafalme wa makundi yote haya matatu huwa wanawekwa madarakani na mfalme atakayekuwa juu yao. Kwahiyo ni hiyari ya mfalme kuchagua mfalme atakayekuwa juu yake ni Mungu , shetani au mzungu.....

Nakutakia maandalizi mema ya kuingia ikulu ndugu yangu hapo Afrika..

Mwl. Makungu m.s
0743781910
9 February 2023
 
Ataliona na kulisoma

Mwl Makungu m.s
0743781910
Mfalme aliye juu ya Mfalme mwenye maamuzi ya mwisho anaweza kuwa ni huyo huyo mfalme kwa kuwa hajitambui wala kusimamia maamuzi yake

Hakika mfano sahihi wa hoja ya bandiko lako, ambalo linafikirisha. Hongera

Imeeleweka kwamba Waafrika ndivyo tulivyo hatujiamini wala kuaminiana. Asante kwa hoja yako

Ungekuwa jasiri tu kusema kuwa utajiri wa maliasili Tanzania (ukanda mrefu wa bahari, mito, maziwa, madini na ardhi bikira) bado Viongozi wake WANAJIKOMBA kwenye mataifa ya nje na kuifanya nchi shamba la bibi.
 
Selfishness. !!
 
Ubarikiwe Sana Sana mkuu

Paragraph ya pili toka mwisho nadhani si mzungu peke yake.... Hata mwafrika mwenyewe anastahili kuingia kwenye hii section kama Adui wa Ikulu yake.

Mara ngapi tumesikia kwamba Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe? Kuna mambo mengine hatuwezi kuwasingizia tu wazungu kila siku. Ni Sisi wenyewe tuko responsibile na SABABU huwa ni kama zifuatazo
Fikra Duni sana. Mfano mzuri ni Chief wetu Alivyo
TAMAA ya Madaraka
Nature yetu kupenda kuwa Vibaraka
Nature yetu ya Kupenda vya Bure a.k.a Kupewa pewa tu Au Kuhongwa hongwa tu
Elimu Duni na hata tukipata elimu (refer point ya kuwa Vibaraka)
Hatujitambui
Hatujielewi
Hatuna FUTURE tupo tupo tu
Hatuna Msimamo ni watu wa kuyumbishwa yumbishwa tu
Hatupendi vya kwetu
Tunasahau Tulipotoka
Hatupo tayari kusacrifice tufike tunapotaka
Ni wepesi wa kushawishiwa/Kulaghaiwa
Kwenye Kazi pia ni Changamoto japo Slogan zetu ni za kazi
Tuna Asili ya Unafiki sana.

Na zingine nimechoka kuziandika zinafika hadi 100 hapa!
Tufanyie kwanza kazi hapa ndipo tuanze kuwalaumu wazungu.
 
Imeeleweka✔️
 
Uselfishness wetu ndio unaosababisha yote uliyoyaainisha !!
 
JamiiForums-1059566392.jpg
 
Nakuelewa Sana mkuu
 
Back
Top Bottom