Huduma za kijamii baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru

passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
5,887
11,369
Ndugu Watanzania kama mnavyoona baada ya zaidi ya miaka 60 ya uhuru hali ya huduma za kijamii bado ni mbovu.

Baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunaongelea huduma mbovu ya umeme.

Hamna umeme wa uhakika,hamna huduma ya maji ya uhakika Tanzania nzima. Kwenye huduma za afya hali nayo ni hiyohiyo hii ni kwa sababu tunaviongozi aina ileile tangu tupate uhuru.

Lakini cha kushangaza watanzania wapo tu wapole/ wakimya, wanawapigia kura viongozi walewale(CCM) kwa hali hii acha tu tuenjoy miaka mingine 60 ya uhuru huku tukiendelea kuwa na huduma mbovu za kijamii kwa sababu hatutaki mabadiliko.
 
Back
Top Bottom