Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:

Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.

Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.

Tutaelewa
 
Huyo Mzee ana ushawishi gani kwa watu,aendelee tu kulima Zabibu na kufuga nyuki!
 
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:

Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili ya kuweka mikakati kizuri zaidi ya kuwashawishi watu kufika kwenye mikutano.

Hali hii naamini inatokana na wabunge waliopo kwa sasa kukataa kushirikiana na wananchi badala yake wapo mijini na familia zao wakiwa na hofu ya kutumia fedha zao kisha mwakani wakafyekwa.

Tutaelewa
umefanya vizuri kutushirikisha maoni yako humu jukwaani juu ya uchaguzi huo.
 
Hii nchi imeshakwama - hatuwezi tena endelea zaidi ya hapa . Lambda JPM afufuke upya.

Wananchi wako wapweke mno.
 
si useme tu sie ni ndugu zako kua umekwama na uko mpweke na huwezi endelea zaidi ya hapo tuone namna tunaweza fanya jambo
 
Back
Top Bottom