Mtazamo wa Profesa Anna Tibaijuka katika masuala ya Kilimo na uchumi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,318
24,215
Dar es Salaam, Tanzania



Profesa Anna Tibaijuka anafahamika zaidi kama mwanamke wa pili Mwafrika kushikilia wadhifa wa juu katika Umoja wa mataifa alipohudumu akiwa mkurugenzi mkuu wa UN-Habitat.

Mbali na hilo ni mwanasiasa mwenye uzoefu nchini Tanzania kwani alihudumu kama Mbunge na waziri. Kadhalika, Profesa Tibaijuka ni mtaalama wa masuala ya Kilimo na uchumi.

Mashirima Kapombe alikutana NAYE jijini Dar es Salaam na alikuwa na mengi ya kusema kuhusu kinachosababisha changamoto za utoshelevu wa chakula barani Afrika. Mashirima alianza kwa kumuuliza, Sasa hivi ana majukumu gani?
 
Back
Top Bottom