Profesa Tibaijuka alipeleka Sakata la Bandari duniani

Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Benki ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekeza kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
 
Samia lazima atambue watanganyika wamegoma kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yao, hata kama wakitumia jeshi la polisi kutulazimisha, the fact is very simple and clear, tumegoma.

Karne hii ya sasa kitendo chochote cha kuwafunga watu midomo kinakuonesha vile ulivyo mjinga, utafanikiwa vipi?

Tuna wasomi wa kila aina, tena wanaokuuliza maswali ya ujinga wako mpaka unashindwa kuwajibu, heshima tuliyonayo sharti tuilinde siku zote, tukiichezea tukaipoteza asilaumiwe mtu kwa ujinga wa mwingine, imeandikwa kila mmoja ataubeba msalaba wake.
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Jibu hoja za Prof Tibaijuka, wacha makelele yako yasiyo na maana yaliyochanganyika na hasira.

Kabila lake wala pesa zake havimzuii Prof. Tibaijuka kutoa maoni yake, kama dada yako alijidai kuziba masikio hataki kusikia, mwambie sasa dunia yote itasikilizishwa ule ujinga aliotufanyia.

Mambo ya hajapata usingizi muda mrefu sana, kwani wewe ni HG wake?
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.

Mjibuni Kwa hoja kama yy anavyowachallange Kwa hoja
 
Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICT
Prof. Issa Shivji naye ana hisa Ticts?, Mzee Joseph Butibu naye ana hisa Tcts?, Mzee Joseph Sinde Warioba naye ana hisa TICTS?, Kadinali Pengo naye ana hisa TICTS?, Father Kitima naye ana hisa TICTS?, Dk. Nshala naye ana hisa?, Wakili Boniface Mwabukusi naye ana hisa?, Adam Malima naye ana hisa?, TLS, LHRC nao wana hisa?Askofu Mwamakula, Askofu Mwamalanga, Askofu Maxmilian Machumu Mwanamapinduzi wote wana HISA?
 
Samia lazima atambue watanganyika wamegoma kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yao, hata kama wakitumia jeshi la polisi kutulazimisha, the fact is very simple and clear, tumegoma.

Karne hii ya sasa kitendo chochote cha kuwafunga watu midomo kinakuonesha vile ulivyo mjinga, unaanzia wapi?

Tuna wasomi wa kila aina, tena wanaokuuliza maswali ya ujinga wako mpaka unashindwa kuwajibu, heshima tuliyonayo sharti tuilinde siku zote, tukiichezea tukaipoteza asilaumiwe mtu kwa ujinga wa mwingine, imeandikwa kila mmoja ataubeba msalaba wake.

Mkuu hivi huwa huna kazi ya kufanya? Kila muda lazima ukomment tena negative comments?
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Faiza unaweza kuwa na kaushahidi kidogo kuwa mama bwenga huyu aliweka ka mtaji kwa muhaya mwenzie

Natamani Sana siku moja tuwe na mijadala huru isiyofunikwa na udini au uchama. Natamani siku moja tuone watu wakitoa mawazo yao huru pasipo na kutishana waka kamata kamata.

Anyways, huyu mama Tiba shida nae ana makando kando mengi Sana, hata Dr Slaa nae ni wale wale tu
 
Huyo toka alipofinywa na Kikwete sakata la Ruge na Singa na Beni ya Kanisa, basi imekuwa nongwa, naona hajapata usingizi mnono siku nyingi sana.

Na sakata la bandari ndiyo limemuumiza kabisa, alikuwa na pesa zake nyingi kawekea kwa mhaya mwenzake, Karamagi, aliyekuwa na shares TICTS.

Tunamfahamu huyo, hatupi shida.
Muogope Allah dadangu!!!
 
Back
Top Bottom