Mageuzi ya uchumi na siasa yaliyofanywa na Mwinyi yasitiwe chumvi.

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,264
Mojawapo ya mambo ambayo Rais Ali Hassan Mwinyi amesifiwa nayo sana hadi na wapinzani ni mabadiliko makubwa ya uchumi na mageuzi ya kisiasa aliyofanya.

Historia iko wazi kwamba kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1995 mataifa ya Magharibi na taasisi zake za kifedha kama IMF na WB zilikuwa yanashinikiza mageuzi yajulikanayo kama Structural Adjustment Programs(SAPs) ambayo yalizitaka nchi masikini na zilizokuwa na mkwamo wa kiuchumi kufungua chumi zao kuwa chumi za sera za soko huria na kuachana na mambo ya kijamaa. Baadaye walienda mbali zaidi wakashinikiza hadi na utawala bora na demokrasia kama kigezo cha kusaidia na kuzipa mikopo nchi hizo nyingi masikini za Kusini mwa dunia Tanzania ikiwemo.

Ni katika kipindi hicho pia USSR ilianguka na China ilikuwa ikifungua uchumi wake kwa kasi kuelekea soko huria ikiachana na sera nyingi za ujamaa. USSR na China ndizo zilikuwa mihimili ya ujamaa kipindi hicho.

Tanzania ya Mwinyi na utawala wa kipindi hicho haukuwa na chaguo lingine zaidi ya kufuata muelekeo huo wa kidunia wa wakati huo. Hata katika utawala wa Mwinyi hakuonekani kuwa na sera nzuri sana, mipango thabiti au jitihada makusudi za ujenzi wa miondombinu, mifumo na taasisi kusimamisha uchumi imara wa soko huria zaidi ya "RUKSA" tu.

Jambo lingine JK anasema sababu mojawapo katika hoja za kuruhusu vyama vingi wakati huo ilikuwa ni kuondoa kelele za watu ili CCM wakae kwa amani na pia kuipa nafuu/auheni CCM kabla haijachokwa! Kwamba wasisubiri mpaka raia wengi watake vyama vingi kwa sababu hiyo ingemaanisha mwisho wa CCM. Kwa maana hiyo mabadiliko ya vyama vingi yalilelenga zaidi maslahi ya CCM badala ya maslahi ya nchi na kufanya mageuzi makubwa ya kitaifa. JK anasema kutoka na mageuzi ya mwaka 1992 ndio maana CCM itaendelea kushinda hata mpaka 2030 na kuendelea!

Tunapommwagia sifa Mwinyi tusisahu msukumo na mbinyo mkubwa wa "mabeberu" kipindi hicho kufanikisha mageuzi hayo kama kuna yoyote makubwa yaliyofanywa makusudi. Jambo kubwa ambalo anaweza kusifiwa nalo ni uungwana wake ukiacha madoa makubwa kadhaa.

Mzee Mohamed Said mzee wa kunyoosha historia usikae kimya historia hii ikafinyangwafinyangwa.
 
Ni kawaida sisi waswahili kumjaza sifa marehemu hata ambazo hakua nazo.

Apumzike kwa amani mzee wetu
 
Kwani ni Huyu alisema “ siasa ni kilimo” ?
 
Marehemu lazima asifiwe...

Punde kidogo watu watamsahau
 
Kama unaona rahisi unadhani kwanini Nyerere hakuamua kufanya yeye mwenyewe hadi akaamua kusepa ?
Nyerere alikuwa ameufanya ujamaa kama dini au imani kwake,
 
Mojawapo ya mambo ambayo Rais Ali Hassan Mwinyi amesifiwa nayo sana hadi na wapinzani ni mabadiliko makubwa ya uchumi na mageuzi ya kisiasa aliyofanya.

Historia iko wazi kwamba kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1995 mataifa ya Magharibi na taasisi zake za kifedha kama IMF na WB zilikuwa yanashinikiza mageuzi yajulikanayo kama Structural Adjustment Programs(SAPs) ambayo yalizitaka nchi masikini na zilizokuwa na mkwamo wa kiuchumi kufungua chumi zao kuwa chumi za sera za soko huria na kuachana na mambo ya kijamaa. Baadaye walienda mbali zaidi wakashinikiza hadi na utawala bora na demokrasia kama kigezo cha kusaidia na kuzipa mikopo nchi hizo nyingi masikini za Kusini mwa dunia Tanzania ikiwemo.

Ni katika kipindi hicho pia USSR ilianguka na China ilikuwa ikifungua uchumi wake kwa kasi kuelekea soko huria ikiachana na sera nyingi za ujamaa. USSR na China ndizo zilikuwa mihimili ya ujamaa kipindi hicho.

Tanzania ya Mwinyi na utawala wa kipindi hicho haukuwa na chaguo lingine zaidi ya kufuata muelekeo huo wa kidunia wa wakati huo. Hata katika utawala wa Mwinyi hakuonekani kuwa na sera nzuri sana, mipango thabiti au jitihada makusudi za ujenzi wa miondombinu, mifumo na taasisi kusimamisha uchumi imara wa soko huria zaidi ya "RUKSA" tu.

Jambo lingine JK anasema sababu mojawapo katika hoja za kuruhusu vyama vingi wakati huo ilikuwa ni kuondoa kelele za watu ili CCM wakae kwa amani na pia kuipa nafuu/auheni CCM kabla haijachokwa! Kwamba wasisubiri mpaka raia wengi watake vyama vingi kwa sababu hiyo ingemaanisha mwisho wa CCM. Kwa maana hiyo mabadiliko ya vyama vingi yalilelenga zaidi maslahi ya CCM badala ya maslahi ya nchi na kufanya mageuzi makubwa ya kitaifa. JK anasema kutoka na mageuzi ya mwaka 1992 ndio maana CCM itaendelea kushinda hata mpaka 2030 na kuendelea!

Tunapommwagia sifa Mwinyi tusisahu msukumo na mbinyo mkubwa wa "mabeberu" kipindi hicho kufanikisha mageuzi hayo kama kuna yoyote makubwa yaliyofanywa makusudi. Jambo kubwa ambalo anaweza kusifiwa nalo ni uungwana wake ukiacha madoa makubwa kadhaa.

Mzee Mohamed Said mzee wa kunyoosha historia usikae kimya historia hii ikafinyangwafinyangwa.
Ukienda kwa mtindo huo hutampa sifa mwl pia ya Ubaba wa Taifa, nenda kafungue mafaili ya shirika la kijasusi la kimataifa ujisomee waTanganyika walivyopewa uhuru wa bendera, hutampa sifa yoyote kwakuwa sisi bado ni coloni
 
Nimeshangaa pia Kikwete alikuwa anasema anavunja baraza lote la mawaziri bila kutoa sababu yoyote.

Nimeshangaa pia alimteua JK mwanajeshi kuwa mbunge na Naibu waziri wa nishati. Mtu ambaye hana uzoefu au elimu kuhusu nishati. Kazi nyeti. Jk mwenyewe alipinga kwa maelezo yake.
Mojawapo ya mambo ambayo Rais Ali Hassan Mwinyi amesifiwa nayo sana hadi na wapinzani ni mabadiliko makubwa ya uchumi na mageuzi ya kisiasa aliyofanya.

Historia iko wazi kwamba kuanzia miaka ya 1980 mpaka 1995 mataifa ya Magharibi na taasisi zake za kifedha kama IMF na WB zilikuwa yanashinikiza mageuzi yajulikanayo kama Structural Adjustment Programs(SAPs) ambayo yalizitaka nchi masikini na zilizokuwa na mkwamo wa kiuchumi kufungua chumi zao kuwa chumi za sera za soko huria na kuachana na mambo ya kijamaa. Baadaye walienda mbali zaidi wakashinikiza hadi na utawala bora na demokrasia kama kigezo cha kusaidia na kuzipa mikopo nchi hizo nyingi masikini za Kusini mwa dunia Tanzania ikiwemo.

Ni katika kipindi hicho pia USSR ilianguka na China ilikuwa ikifungua uchumi wake kwa kasi kuelekea soko huria ikiachana na sera nyingi za ujamaa. USSR na China ndizo zilikuwa mihimili ya ujamaa kipindi hicho.

Tanzania ya Mwinyi na utawala wa kipindi hicho haukuwa na chaguo lingine zaidi ya kufuata muelekeo huo wa kidunia wa wakati huo. Hata katika utawala wa Mwinyi hakuonekani kuwa na sera nzuri sana, mipango thabiti au jitihada makusudi za ujenzi wa miondombinu, mifumo na taasisi kusimamisha uchumi imara wa soko huria zaidi ya "RUKSA" tu.

Jambo lingine JK anasema sababu mojawapo katika hoja za kuruhusu vyama vingi wakati huo ilikuwa ni kuondoa kelele za watu ili CCM wakae kwa amani na pia kuipa nafuu/auheni CCM kabla haijachokwa! Kwamba wasisubiri mpaka raia wengi watake vyama vingi kwa sababu hiyo ingemaanisha mwisho wa CCM. Kwa maana hiyo mabadiliko ya vyama vingi yalilelenga zaidi maslahi ya CCM badala ya maslahi ya nchi na kufanya mageuzi makubwa ya kitaifa. JK anasema kutoka na mageuzi ya mwaka 1992 ndio maana CCM itaendelea kushinda hata mpaka 2030 na kuendelea!

Tunapommwagia sifa Mwinyi tusisahu msukumo na mbinyo mkubwa wa "mabeberu" kipindi hicho kufanikisha mageuzi hayo kama kuna yoyote makubwa yaliyofanywa makusudi. Jambo kubwa ambalo anaweza kusifiwa nalo ni uungwana wake ukiacha madoa makubwa kadhaa.

Mzee Mohamed Said mzee wa kunyoosha historia usikae kimya historia hii ikafinyangwafinyangwa.
Kulikuwa na shinikizo kubwa sana kwa nchi za kijamaa kubadili mfumo.

Nimeshangaa pia Kikwete anasema alikuwa anavunja baraza lote la mawaziri bila kutoa sababu yoyote.

Nilishtuka kidogo limteua JK mwanajeshi, kijana mdogo kuwa mbunge na Naibu waziri wa nishati. Mtu ambaye hana uzoefu au elimu kuhusu nishati wakati huo. Kazi nyeti. Jk mwenyewe alipinga kwa maelezo yake kupewa kazi hio Unaibu uwaziri wa nishati. Hakulalamika kuhusu ubunge.
 
Ukienda kwa mtindo huo hutampa sifa mwl pia ya Ubaba wa Taifa, nenda kafungue mafaili ya shirika la kijasusi la kimataifa ujisomee waTanganyika walivyopewa uhuru wa bendera, hutampa sifa yoyote kwakuwa sisi bado ni coloni
Mimi huwa nampa sifa kubwa zaidi Nyerere katika kuunganisha nchi na kutengeneza taifa moja kutoka makabila mengi, kanda nyingi na dini tofauti. Uhuru wetu haukuwa na struggle kubwa kwa sababu tulikuwa UN mandate ambayo tunaandaliwa kupata uhuru na mkoloni wetu Mwingereza hakuwa na interests kubwa sana za kuendelea kututawala. Kazi kubwa ya Mwalimu ilikuwa ni kuwashawishi wakoloni tu kwamba tunaweza kujitawala wenyewe.
 
Back
Top Bottom